Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Kupiga magoti Ni ishara ya uungwanaJPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.
Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??
Mataga Tafuta thamani ya X......
Tangu lini JPM kawa muungwana ?Kupiga magoti Ni ishara ya uungwana
Subiri October utaona umuhimu wa goti lake
Kuongoza hii nchi ni uungwana toshaTangu lini JPM kawa muungwana ?
Ujinga zaidi ni kuomba kura kwa unaemtusi na kumkejeliBila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
Jitihada za jpm? Hivi unajua hata nini maana ya democracy?Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Wapi nimeandika watu wakae kimya?!Kwahio unataka watu wakae kimya kwakua walibya wanalia?Wacha waendelee na misimamo yao wao wanaamini majeshi ndio kila kitu kwao
Pia wizi wa matrillionTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Mwakyembe Ana PhD,tulia PhD,sijui wanyaki tunakwama wapi?Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Mmh propaganda ndiyo zipi tena.? Kwamba Walibya Sasa wanalia siyo uongo ..ni kweli...hakuna Libya tena...kina mabwana wa Vita Kila bwana wa Vita na eneo lake...akina sijui Haftar...Walibya wanalia Kila siku...hali ilivyo mbaya wajazana kwenye mitumbwi kukimbilia ulaya na kwa maelfu wanakufa baharini.hali ya Zambia ni mbaya kwa Sasa na yule jamaa wa Malawi kuingia tu mawaziri karibu nane Ndugu zake...maandamano mtindo mmoja...ni Veena Kama Sasa mnamuona Nyerere wa maana...huyo Lissu wenu juzi juzi alitweet akijisifu kuwa amelala kwa Nyerere...lakini amesahau kuwa amewahi kutamka hadharani kuwa Nyerere hakuwa lolote kwani enzi zake eti aliishi kwa uongo...watanzania wana akili Sana na ndiyo maana wengi wao kwa mamilioni wataamua CCM iendelee kuongoza nchi..Acha propaganda za kitoto. Wapigakura ni watu wazima wenye akili zao. Wamalawi walilia kwa sababu Kamuzu alitoka madarakani? Wazambia waliugua kwa sababu Kaunda alitoka madarakani? Wakenya walikosa chakula kwa sababu Moi na KANU walitoka madarakani? Mmeishiwa sera sasa mmekalia kupiga soga. Mara mabeberu, mara Libya, mara Lissu siyo raia... Nyerere (baba wa CCM) alisema wanaofilisika kisera ndio hukimbilia upuuzi huu. Mruhusu Watanzania kuchagua viongozi wanaowataka. Mmefika kikomo cha uongo wenu na hila.
Lushoto hoyeeeeeeeee!!!Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Nyerere...lakini amesahau kuwa amewahi kutamka hadharani kuwa Nyerere hakuwa lolote kwani enzi zake eti aliishi kwa uongo
Hatari sanaSasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Umenikumbusha mbali sanaSasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Hivi 2015 Chadema ilishinda kiti cha urais vilee?Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Kamuulize jiwe, yeye ndiyo chanzo cha yote hayaBila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
Unajua mwabudu kuzimu na shetwani?Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL