Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Kwa lugha za kudhalilishwa kama hizi wacha wakataliwe tu wahuni hawa.



Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

View attachment 1586446
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
Kupiga magoti Ni ishara ya uungwana
Subiri October utaona umuhimu wa goti lake
 
Bila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
Ujinga zaidi ni kuomba kura kwa unaemtusi na kumkejeli
 
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Jitihada za jpm? Hivi unajua hata nini maana ya democracy?
 
Watu wanaonesha kwamba sasa wamechoshwa na mambo ya kipuuzi puuzi
 
Kwahio unataka watu wakae kimya kwakua walibya wanalia?Wacha waendelee na misimamo yao wao wanaamini majeshi ndio kila kitu kwao
Wapi nimeandika watu wakae kimya?!
 
Acha propaganda za kitoto. Wapigakura ni watu wazima wenye akili zao. Wamalawi walilia kwa sababu Kamuzu alitoka madarakani? Wazambia waliugua kwa sababu Kaunda alitoka madarakani? Wakenya walikosa chakula kwa sababu Moi na KANU walitoka madarakani? Mmeishiwa sera sasa mmekalia kupiga soga. Mara mabeberu, mara Libya, mara Lissu siyo raia... Nyerere (baba wa CCM) alisema wanaofilisika kisera ndio hukimbilia upuuzi huu. Mruhusu Watanzania kuchagua viongozi wanaowataka. Mmefika kikomo cha uongo wenu na hila.
Mmh propaganda ndiyo zipi tena.? Kwamba Walibya Sasa wanalia siyo uongo ..ni kweli...hakuna Libya tena...kina mabwana wa Vita Kila bwana wa Vita na eneo lake...akina sijui Haftar...Walibya wanalia Kila siku...hali ilivyo mbaya wajazana kwenye mitumbwi kukimbilia ulaya na kwa maelfu wanakufa baharini.hali ya Zambia ni mbaya kwa Sasa na yule jamaa wa Malawi kuingia tu mawaziri karibu nane Ndugu zake...maandamano mtindo mmoja...ni Veena Kama Sasa mnamuona Nyerere wa maana...huyo Lissu wenu juzi juzi alitweet akijisifu kuwa amelala kwa Nyerere...lakini amesahau kuwa amewahi kutamka hadharani kuwa Nyerere hakuwa lolote kwani enzi zake eti aliishi kwa uongo...watanzania wana akili Sana na ndiyo maana wengi wao kwa mamilioni wataamua CCM iendelee kuongoza nchi..
Hali itakuwa imetendeka...wengi wape...nyie tunaambiwa mtalala barabarani tusubiri jumuiya ya kimataifa iingilie Kati...
 
Fooli*h argument. Kulala kwa Nyerere kunabadilisha nini katika alichokisema Lissu? Toeni sera watu wachague Mtanzania wanayetaka awaongoze. Tanzania ina watu milioni 60. Wengi tu wanaweza kuongoza nchi. Acheni vitisho vya Libya. Nchi nyingi (nimekutajia) zimebadilisha viongozi bila machafuko. Nyie mnataka kuleta machafuko kwa kujimilikisha nchi. Tanzania ni ya Watanzania. Siyo mali ya CCM. CHADEMA wangekuwa wanataka kuleta mambo ya Libya, wangekwenda msituni siyo kwenye uchaguzi. Watu waliokuwa wanatishika na hayo maneno yenu walikwisha kufa wote.
Nyerere...lakini amesahau kuwa amewahi kutamka hadharani kuwa Nyerere hakuwa lolote kwani enzi zake eti aliishi kwa uongo
 
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Unajua mwabudu kuzimu na shetwani?
Kuna picha inamuonyesha mtu anakunywa kikombe cha mganga babu Mwaisapile.
 
Back
Top Bottom