Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??
Mataga Tafuta thamani ya X......