Luteni Ian Kagame

Mbona huyu jamaa ana matukio mengi ya kutisha[emoji848][emoji848][emoji848]

Karma haifanyi kazi kwake kabisa
 
Hivi ilikuwaje watusi wa kutokea burundi na uganda wakatoboa huku waliotokea tz wakikwama?

Halafu ukumbuke watutsi wao walitokea tu Rwanda na Burundi huku majority ya waha wakitembea kutoka Bunyoro na nyankole uganda ndio wakawapitia wengine rwanda na burundi na wengine wakabaki ngara yaani wale wahangaza ni koo kwa waha na wanaongea lugha moja pia na kuelewana pamoja na wanyankole nao wakiongea wanaelewana na watu karibu wa Rwanda, Burundi, Ngara, Kigoma hasa Kibondo na kule kasulu, hivo number na uchache wao viliwazuia kuanzisha nchi nyingine kule kigoma wakamezwa wakawa wapole
 
Duuuh

Naonaga kama Ange anaishi marekani

So wazazi wa Alexia hawakutafuta justice?
 
Katika orodha makabila ya bongo watusi hamna ila wahutu wapo hii huwa nashindwa kuielewa kabisa
 
Katika orodha makabila ya bongo watusi hamna ila wahutu wapo hii huwa nashindwa kuielewa kabisa

Sema orodha ya makabila Tanzania imechanganywa ngoja nibase huko kigoma utakuta watu wanaitwa Wajiji wazirankende, hiyo ni koo ambayo inapatikana rwanda, Burundi, Uganda, Muleba kwa wahaya yaani koo moja ilikua inasafiri wnawaacha wenzao wale wanaobaki wanaitwa jina la kabila la pale wakafika hadi ujiji wakatulia, halafu kuna koo inaitwa abayango iko nchi zote hizo lakini kuna kitu hua nawaza kwamba bila wakoloni kugawa watu kwa mipaka jamii za afrika zinaingiliana sawa na mila na desturi za wameru wa kenya na tanzania, wajaluo wa kenya na tanzania, wamasai vilevile, wamakonde wapo msumbiji na mtwara huko, yaani mambo yalivurugika miaka ile ya 1884/1885 kwenye berlin conference
 

Vita ya 1994 walikusanyika watutsi kutoka tz, ud na burundi sasa ilikuwaje wa kutokea tz hawakupata vyeo (kutoboa) baada ya ushindi wa 94?
 
Vita ya 1994 walikusanyika watutsi kutoka tz, ud na burundi sasa ilikuwaje wa kutokea tz hawakupata vyeo (kutoboa) baada ya ushindi wa 94?
Kwani wale wakina Prof Silas Rwakabamba,David Kaberuka etc wao walitokea nchi gani?
 
Jamaa anatoka mwaka 2034?🤬🤬
 
Kwani wale wakina Prof Silas Rwakabamba,David Kaberuka etc wao walitokea nchi gani?
Ukweli ni kwamba namba ya wabongo waliotoboa ni ndogo mno ukilinganisha na wa ug ama burundi pengine labda waliotokea bongo hawakuwa na elimu au exposure kama hao waliotokea mataifa jirani au pia labda mchango wa wabongo ulikuwa mdogo sana na wanastahili walichopata
 
Vita ya 1994 walikusanyika watutsi kutoka tz, ud na burundi sasa ilikuwaje wa kutokea tz hawakupata vyeo (kutoboa) baada ya ushindi wa 94?

Aaahhh wengi walirudi kwao kutoka makambini ukumbuke hao wakimbizi baadhi walipelekwa mishamo tabora wale wa kutoka burundi na watutsi hasa wa Rwanda na Burundi walipelekwa Mwese katavi huko ili kuzuia wasipigane, hao ni walioingia Tanzania miaka ya 1970, nadhani baadae walipata uraia kabisa wa Tanzania lakini wengi walirudi kwao na wengine wakabaki Tanzania lakini hata wakirudi kwao ajabu wanapata haki zote kama Raia wa nchi zao yaani tunakataa uraia pacha lakini hizo jamii zikirudi kwao wakajiandikisha wanapata full citizenship japo kuitwa watanzania wako proud kuliko kuitwa warundi au wanyarwanda, hasa wale wakimbizi wengine wa mwaka 1994 ndio hao baadhi wako makambini sasa kigoma, nadhani na katavi kama hawakufunga kambi sina hakika, hata Rais wa sasa wa Burundi aliishi sana mishamo tabora na ana ndugu pale hadi leo,
 

Waliopigana vita kutokea Tanzania wengi ni warundi na walidaka vyeo kwao, kwa Rwanda wengi ni crew ya kutoka pori la uganda waliokua na museveni,
 
Wakimbizi wengi kutoka Congo, Burundi walikua Tanzania huku wakimbizi wa Rwanda wengi aalienda Uganda, na wote walinufaika na mpango wa nchi ya pili ya ukimbizi wengi wako ulaya na marekani ndio maana warundi ni wengi marekani kuliko watanzania,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…