Luteni Ian Kagame

Waliopigana vita kutokea Tanzania wengi ni warundi na walidaka vyeo kwao, kwa Rwanda wengi ni crew ya kutoka pori la uganda waliokua na museveni,
Miaka hiyo nasikia walikusanywa tutsi kutokea nchi zote Africa mashariki warudi kupigania nchi yao mwanzoni mwa 90's, vijana wakajiunga na rpf wakapambana na kushinda vita 94, sasa baada ya vita mbona hatuoni vijana waliotokea bongo wakitoboa? Waliishia kuwa wa kawaida tu je ni elimu hawakuwa nayo uweledi au walibaniwa?
 
Mchango kua mdogo huo Ni kweli,watutsi kutoka Uganda na Burundi ndio walitoa wapiganaji wengi Kwny RPA.Nadhani hata ratio ya Tutsi wengi waliohamia Rwanda baada ya 1994 walitokea huko huko Uganda na Rwanda kulinganisha na bongo.
 
Mchango kua mdogo huo Ni kweli,watutsi kutoka Uganda na Burundi ndio walitoa wapiganaji wengi Kwny RPA.Nadhani hata ratio ya Tutsi wengi waliohamia Rwanda walitokea huko huko Uganda na Rwanda kulinganisha na bongo.
Mchango wao uliokuwa mdogo ni wa nguvu kazi au mali? Ni walikuwa wachoyo wa kutoa mali zao au walibania watoto wao wasijiunge na jeshi kupigania nchi yao?
 
Mchango wao uliokuwa mdogo ni wa nguvu kazi au mali? Ni walikuwa wachoyo wa kutoa mali zao au walibania watoto wao wasijiunge na jeshi kupigania nchi yao?
Mchango wa kijeshi.

Lkn Pia PK amekulia Uganda wkt Janet Kagame amekulia Burundi so watakaobebwa hapo wanajulikana watatokea wapi.

Kwa mfano kwny jeshi lao Kuna kipindi top brass ya jeshi walienjoy waliokulia Congo wakina Gen. James Kabarebe,then kuna zamu walienjoy waliokulia Uganda wakina Gen. Nyamwasa,Kayonga,Nyamvumba na Sasa Ni zamu ya waliokulia Burundi wakina Gen. Kazura.

So far hata Mimi sijaona Kama kuna boss yoyote wa jeshi lao aliyetokea/kukulia Tz lkn nchi nyingine karibu zote za E/Africa yaani Burundi, Uganda,Congo zimeshatoa mkuu wa majeshi huko Rwanda.
 
Watusi waliokulia tz waliishia kuwa wakulima na wafugaji, nasikia wanapenda ngono na pombe hivyo hawako focused hawawezi pewa nyazifa kubwa wakazimudu maana wamekaa kizembe na shule hamna au ni maneno ya kuwabania tu?
 
Hii vita aliyoichokoza kagame kwa DRC naombea mungu congo ashambulie mapema sana.Hii itakuwa kama kumsukuma tu mlevi kiuchonganishi maana wahutu watammaliza mapema sana kagame mungu ni mwema
 
Watusi waliokulia tz waliishia kuwa wakulima na wafugaji, nasikia wanapenda ngono na pombe hivyo hawako focused hawawezi pewa nyazifa kubwa wakazimudu maana wamekaa kizembe na shule hamna au ni maneno ya kuwabania tu?
😄😄 aisee labda inawezekana mkuu.
 
Hii vita aliyoichokoza kagame kwa DRC naombea mungu congo ashambulie mapema sana.Hii itakuwa kama kumsukuma tu mlevi kiuchonganishi maana wahutu watammaliza mapema sana kagame mungu ni mwema
😄😄 Wakata mauno na Vita wapi na wapi.

Jeshi la Congo wanapigwa hata na Jeshi la mgambo wa bongo.
 
 

Mnaokoyeza mambo ilimradi tu kuifanya CHADEMA ionekane mbaya. Nakumbuka kipindi Chadema wanachagua Mbowe kwa Mara ya kwanza kura zilipigwa kimajimbo, yani primaries. Sasa najiuliza ilikuwaje Mbowe akarithishwa uenyekiti kwa staili hiyo?. Tuache uongo.
 
Uzuri wa rwanda hakuna upuuzi wa kuchezea mali za umma kama ilivyo Tanzania.Hata kama akiirithisha ni sawa tu maana anajali maendeleo ya wananchi.Kwa tanzania miaka 62 kimetawala chama kimoja na hakuna cha maana kilichofanywa zaidi ya kuleta shida tu kwa wananchi.
 
Acha mboyoyo nyingi.

Katika maelezo yangu hapo juu wapi nimedanganya?
 

Ona mnavowehuka mkielezwa ukweli, sasa unadhani kuna uongozi utapata bila connection labda alibahatisha magufuli tu, lakini mambo ni yale yale lazima circle iwe ileile ndio maana Bush Baba aliwahi kua rais then Bush mtoto akawa rais, msaidizi wa obama makamo wake wa rais kwa sasa ndio Rais na obama anafamfanyia kampeni kila leo, hivo ndio mambo yanavokuaga,
 
Acha mboyoyo nyingi.

Katika maelezo yangu hapo juu wapi nimedanganya?

Hakuna uongo hapo hawa ndio mbowe kua mwenyekiti miaka 30 ni sawa lakini Ridhiwan akija kua rais wanajifanya kushangaa, jomo kenyatta alikua Rais wa kenya, baadae uhuru kenyatta akawa Rais wa kenya pia, haya mambo hutakiwi kushangaa ni mzunguko uliojipanga toka enzi na enzi, leo muhooz akiwa Rais uganda hakuna cha kushangaa, yaani circle inazunguka humo humo tu inabidi watu wazoee au upambane uwe mwanasiasa uingie kwenye circle ili iwe rahisi kupiga simu wanao wasaidiwe
 
Na yule wa uganda nae anataka awe mkuu wa majeshi ya Africa mashariki. Ukisikia power monger ndo hao sasa

Yule alizaliwa Dar Es Salaam mwaka 1974 ni mbongo kabisa hata cheti cha kuzaliwa anacho cha Tanzania
 
Kinyankole na kihaya ni 90% same....

Jamii ya kinyambo inafanana sana na kitutsi...

Majina ya kitusi yanafanana sana na kihaya, kinyankole na kihima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…