respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
we msalewa ni mchumia
tumbo mkubwa huna lolote unatetea damu za watu wasio na hatia ziendelee
kumwagika,chadema ni mara ngapi imemtumia ben sa nane kufnya upuuzi huu
??yaan ww una laana
Chadema hawakwepi hili suala hata wafanye vipi hii tabia ya kipumbavu sana.
naomba nikupe ushauri utakaokufaa...ACHA KUNYWA GONGO.,mwache Dr na wafu wenzake.kikwete ni mtu mmoja mbaya sana nina uhakika lazima atakwenda the hague haisezekani anaendesha nchi na chama kimafia huyu mzee ni mtu hatari sana
Hovyooo...!!!Hao wamejipiga risasi wenyewe! Period!
Nilisikia Lwakatare yuko nje.,ameachiwa na mahakama..,is it true..???Wamepiga wenyewe risasi hicho kisuzuki chao. Drawing public attention. ..
Mimi sio mtaalamu wa haya mambo, lakini mashimo kwenye vioo yanaonekana kama yamesababishwa na mawe na wala sio risasi. Kama kuna mtaalamu wa ballistics hapa jukwaani naomba afafanue.
Kwani huyu ben wa saa nane ni nani..? mbona anatajwa sana kuhusika..,ndiyo yule Ludo wa Lwakatare au..?Kwnini kila tukio mnaegemea kwa viongozi wa chadema?sasa ben wa saa nane kausikaje kama siyo bifu za kijinga
hawa vijana walijipiga wenyewe, au kama ni wahalifu wana huruma.
kulenga kioo cha nyuma manake walitaka asiumie mtu,
au kupunguza hasara kwa kuwa kioo cha nyuma elf 50 wakati cha mbele laki tatu.
hawa lazima walijipiga.....
Good observation????!!!!
What about the range/distance????!!!!
aiseeee!!!....ni kweli ile saizi ya shimo huyu mtu alikuwa karibu fulani hivi. walijipiga hawa. wanatafuta kuaminisha watu kitu ambacho hakipo kwa uwongo fulani hivi.