M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

Hakuna aliyemdhalilisha amejidhalilisha yeye mwenyewe
 
Nukuu ya mwathiliwa;

Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!

Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!

Amesema.

Pia soma
- Tundu Lissu aonekana Kariakoo, atangaza opereshani rejesha Bandari za Tanganyika kutoka kwa Sultan wa Dubai imeanza
Sasa anawatisha Kwa lipi?
 
msitishwe, hao wote ni watu wanatafuta vyeo tu. Mkoloni mbaya ni kiongozi wa kiafrika hasiye jali masilahi ya nchi.
 
lisu anataka kuleta vita vya kiuchumi huu ni uhujumu uchumi na uhaini ndani yake
 
Back
Top Bottom