Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa anawatisha Kwa lipi?Nukuu ya mwathiliwa;
Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!
Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!
Amesema.
Pia soma
- Tundu Lissu aonekana Kariakoo, atangaza opereshani rejesha Bandari za Tanganyika kutoka kwa Sultan wa Dubai imeanza
Tatizo kashakua Bibi...tipwa tipwa!Angekuwa Air hostess angefit sn kazi anaiweza
msitishwe, hao wote ni watu wanatafuta vyeo tu. Mkoloni mbaya ni kiongozi wa kiafrika hasiye jali masilahi ya nchi.Nukuu ya mwathiliwa;