Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
ongeza nyama umeweka shingapi inaingia shingapi..?Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 1 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
Mkuu hii huduma ya Vodacom m wekeza unaweka pesa halafu gawio linakua linatoka Kila mwezi tarehe Moja yaani ukiweka mpunga wa maana kazi Yako inakua kuandaliwa maziwa na wife huku wewe ukiichapaEmbu fafanua zaidi
Mzee tia pesa ni bonge la uwekezajiKuna mwana ananishawishi kila siku niweke humo hela
Hela yeyote uliyonayo haina kikomoKiasi unaweza kutia uko?
Unaweka pesa yeyote haina kikomoongeza nyama umeweka shingapi inaingia shingapi..?
mh!Unaweka pesa yeyote haina kikomo
Mbona unaguna
Inatakiwa uweke pesa nyingi ndio utaenjoyMzee tia pesa ni bonge la uwekezaji
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.Mzee tia pesa ni bonge la uwekezaji
Njaa ya asubuhi inakusumbua?Weka percentage ya riba acha longo longo
Mpaka 13% kwa mwakaWeka percentage ya riba acha longo longo
Ni pesa ambayo inanifanya naamka nakaa na Taulo kibarazani na kikombe Cha maziwa huku nikiperuzi mtandaoniMtoa mada ataki kusema kaweka kiasi gani 😹😹
Maana yake inaweza kushuka hata 5%, si ndio hivyo.Mpaka 13% kwa mwaka