Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Aisee Wanatembeza kichapo Cha mbwa kokom23 wapo sahihi itapendeza kama wataendelea kutembeza mkong,oto
Hatari sanaDaaaahhh
Ni akina nani wanatembezewa kichapo cha mbwa koko wa jeilaAisee Wanatembeza kichapo Cha mbwa koko
Sadc na jeshi la congoNi akina nani wanatembezewa kichapo cha mbwa koko wa jeila
Sahihi kabisa kama Leo jamaa wametoa mkong'oto wa Hali ya juuWapewe hiyo ardhi wajitawale mana raia wanawaunga mkono,DRC imeshafeli pakubwa..hiyo nchi igawanywe ziwe nchi zinazojitegemea.
Ukisema sadc unamaanisha na jeshi letu ama!?Sadc na jeshi la congo
Ndio pia limoUkisema sadc unamaanisha na jeshi letu ama!?
NdioUpo eneo la tukio ?
SADC ifanye mambo yanayoeleweka, na kama wamekubali congo igawanywe, basi na iwe hivyo ili watu wasiendelee kufa.Hawa jamaa walisema wamesitisha mapigano Leo asubuhi wameibuka wametembeza kichapo wakaiteka nyabibwe aisee tshekedi kazi anayo na unaambiwa Hawa m23 vijana wao hawana huruma na adui wanapiga kichapo Cha mbwa koko kama wanavyoagizwa na mkuu wao Cornell nangaa