Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Sadc wanacheza kichapo Cha mbwa Koko mpaka wanakimbia wanaacha silaha ndio tatizo la kupeana ajira kwa kujuana wanajeshi wanakua waogawaogaSADC ifanye mambo yanayoeleweka, na kama wamekubali congo igawanywe, basi na iwe hivyo ili watu wasiendelee kufa.
Tutegemee taarifa ya vifo teena eeeti.Sadc na jeshi la congo
Ndio maana yakeTutegemee taarifa ya vifo teena eeeti.
Masikitiko makubwa Sadc nao waliamini kusitisha vita kweli ausee.Ndio maana yake
Akili hawanaMasikitiko makubwa Sadc nao waliamini kusitisha vita kweli ausee.
Siku hizi tuna majeshi ya vimemoSadc wanacheza kichapo Cha mbwa Koko mpaka wanakimbia wanaacha silaha ndio tatizo la kupeana ajira kwa kujuana wanajeshi wanakua waogawaoga
Hatari sanaSiku hizi tuna majeshi ya vimemo
Niliwaambia hapa wanafanya-retreat watakuja kivingine maana paulo bado hajaridhikaSiku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban kilometa 70 kutoka Bukavu—eneo ambalo awali walisema hawana mpango wa kuliteka.
Taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali, ikiwemo wafanyakazi wa mashirika ya misaada, zimethibitisha kuwa M23 sasa wanashikilia udhibiti wa Nyabibwe.
Waaafrika wengi wakiona wanajeshi tu wanashangilia.Why are they being celebrated like this?
Are we being fed/misinformed (wrong information) about this guys? What for? Rebels are never celebrated like this?
View: https://youtu.be/ABkMQ8C-n7A?si=206_5odDdZCnnazv
Why are they being celebrated like this?
Are we being fed/misinformed (wrong information) about this guys? What for? Rebels are never celebrated like this?
View: https://youtu.be/ABkMQ8C-n7A?si=206_5odDdZCnnazv
Ni kiu ya msaada.Waaafrika wengi wakiona wanajeshi tu wanashangilia.
Wanajeshi wengi waneshangiliwa hivyo, hata Idi Amin.
Kipi kipya hapo?
Watanzania wengi wanapinga kuibiwa kura, wanasisitiza uhuru na utawala wa shwria, wakati huo huo wanamshobokea Captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso!
Wakati Ibrahim Traore kaahirisha uchaguzi kwa miaka mitano tangu 2024!
Kuna jamaa mmoja alikuwa anahadithia mgogoro wa vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kidini huko Lebanon.Ni kiu ya msaada.
Kama mtoto anayenyanyaswa akimwona baba au mama yake.
Ila hawa ni waasi tunaoambiwa wengi wanyarwanda. Jamii ya Congo haiwataki....Wazalendo wamepigana pamoja na majeshi ya serikali.
Huu mgogoro haueleweki.....
Na hawakukuelewa. Ona sasa. Na bado watachukua pia maeneo mengine mengi. Ngoja tuone.Tulishasema hapa, hawa walikuwa wanajipanga tu
Haigawanywi hawa wanampindua Felix na kuchukua Congo yote.Wapewe hiyo ardhi wajitawale mana raia wanawaunga mkono,DRC imeshafeli pakubwa..hiyo nchi igawanywe ziwe nchi zinazojitegemea.
Linazidi kuisogelea Bukavu hili jeshi la Rwanda.Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban kilometa 70 kutoka Bukavu—eneo ambalo awali walisema hawana mpango wa kuliteka.
Taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali, ikiwemo wafanyakazi wa mashirika ya misaada, zimethibitisha kuwa M23 sasa wanashikilia udhibiti wa Nyabibwe.
ICC imetangaza inafuatilia kwa karibu haya matukio, huenda kigogo mmoja wa nchi za maziwa makuu akatolewa hati ya kukamatwa kama kina Putin na Netanyau.Kuna sehemu nimesoma kuwa maelfu ya wanajeshi wa kulinda amani UN wameenda.
Ila nimesikitika sana, japo vita haina macho, kitendo cha kuwabaka na kuwachoma moto wakowa hai, wafungwa wanawake zaidi ya 141 na watoto wao si sawa. Kila aliyeshiriki ghadhabu ya Mungu ikamshukie.