M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

Wapewe hiyo ardhi wajitawale mana raia wanawaunga mkono,DRC imeshafeli pakubwa..hiyo nchi igawanywe ziwe nchi zinazojitegemea.
Raia wapi hao wanawaunga mkono?....ni pamoja na hawa karibia 3000 waliokufa kwenye vita vya kuiteka Goma?

Wamebakwa na wafungwa wa kiume ambao wamebomoa gereza wakaingia section ya wanawake wakawabaka na kuchoma moto gereza. Wengi wa wanawake wamekufa kwa moto.
 
Wamebakwa na wafungwa wa kiume ambao wamebomoa gereza wakaingia section ya wanawake wakawabaka na kuchoma moto gereza. Wengi wa wanawake wamekufa kwa moto.
Wamesema bado wanaendelea kuchunguza, japo hilo lilisemwa pia. Niliona wafungwa wa kiume wakikimbia na milio ya risasi inapigwa, ikimpata mtu chini. Wanahisi hao M23.
 
Wamesema bado wanaendelea kuchunguza, japo hilo lilisemwa pia. Niliona wafungwa wa kiume wakikimbia na milio ya risasi inapigwa, ikimpata mtu chini. Wanahisi hao M23.
Zipo clips zilizochukuliwa kwa drone, CNN wameonyesha jinsi masela wanavyokimbia hovyohovyo ndani ya gereza.
 
Kwa kuangalia maeneo wanayo shambulia M23 mpango wao ni kumiliki eneo lote la ziwa kivu na kivu yote kiujumla.

hakuna jw kule, waliopo huko ni vijana wachache sana wanalinda amani kwa muavuli wa sadc. Ushushe jw kule si watapiga mpaka kigali?
Nilisoma comment moja humu kuwa wamenyang'anywa simu zote ili wasifanye mawasiliano yoyote na wamepewa silaha zao kama heshima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…