kwa hiyo amani gani wanayolinda huko wakati m23 wanazidi kuchukua miji...hakuna jw kule, waliopo huko ni vijana wachache sana wanalinda amani kwa muavuli wa sadc. Ushushe jw kule si watapiga mpaka kigali?
CCM ni janga wametuharibia nchi na jeshi pia. Cku hizi usalama wa TAIFA na JWTZ wanajazana UVCCM, unatarajia nini mkuuSiku hizi tuna majeshi ya vimemo
Amani gani wanalinda wakati wanauwawa na kuiacha M23 ikizidi kujitanua na kuteka maeneo.hakuna jw kule, waliopo huko ni vijana wachache sana wanalinda amani kwa muavuli wa sadc. Ushushe jw kule si watapiga mpaka kigali?
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban kilometa 70 kutoka Bukavu—eneo ambalo awali walisema hawana mpango wa kuliteka.
Taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali, ikiwemo wafanyakazi wa mashirika ya misaada, zimethibitisha kuwa M23 sasa wanashikilia udhibiti wa Nyabibwe.
Uhakika ni kuwa tusiponunua silaha Kali, na za kisiasa, na kurecruit vijana wazalendo na wenye ari na Akili kubwa jeshini siku moja haya manya Rwanda matutsi wapenda damu za watu na mali za bure watatutawala. Wameanza kupenyeza viongozi, na ni wepesi na werevu kutunga uongo kuhalalisha vita. Tatizo hatusomi vitabu au machapisho yanayotoa Siri zao. Serikali yetu iko busy na siasa na watawala kujilimbikizia mali ambazo siku hao mashetani wakiingia wanabomoa au kujitwalia. Mtikila alisema, japo inasemekana Kagame alimuua.CCM ni janga wametuharibia nchi na jeshi pia. Cku hizi usalama wa TAIFA na JWTZ wanajazana UVCCM, unatarajia nini mkuu
Unamnyang'anya vipi mali mwanajeshi anayelinda amani kwa mwamvuli wa UN maana yk utakuwa umetangaza vita na nchi wanachama wote wa UN na huwezi toboa hata wiki..Nilisoma comment moja humu kuwa wamenyang'anywa simu zote ili wasifanye mawasiliano yoyote na wamepewa silaha zao kama heshima tu.
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban kilometa 70 kutoka Bukavu—eneo ambalo awali walisema hawana mpango wa kuliteka.
Taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali, ikiwemo wafanyakazi wa mashirika ya misaada, zimethibitisha kuwa M23 sasa wanashikilia udhibiti wa Nyabibwe.
M23 are not there to play !!! I'm wondering what SADC is expecting !!!Niliwaambia hapa wanafanya-retreat watakuja kivingine maana paulo bado hajaridhika
Taarifa ya kunyang'anywa simu iliandikwa na mmoja wa members humu. Usinilaumu mkuu. Kama ni kweli au sio, majibu yanatakiwa kutolewa kuhusu usalama wa askari wetu wanaolinda amani DRC.Unamnyang'anya vipi mali mwanajeshi anayelinda amani kwa mwamvuli wa UN maana yk utakuwa umetangaza vita na nchi wanachama wote wa UN na huwezi toboa hata wiki..
Mambo mengine fanyeni utafiti kwanza kwa namna mnavyoandika kimihemko hivyo mtu wa nje akisoma anajua ni jamii ya aina gani tunayo.
Ina maana wanapigana kuikomboa Drc dhidi ya Tshekedi aliye mtawala katili?...hii kaliNi kiu ya msaada.
Kama mtoto anayenyanyaswa akimwona baba au mama yake.
Ila hawa ni waasi tunaoambiwa wengi wanyarwanda. Jamii ya Congo haiwataki....Wazalendo wamepigana pamoja na majeshi ya serikali.
Huu mgogoro haueleweki.....