Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
We kahaba la Goma sikia nikupashe upashike!Hasara ya ajira za kujuana na vyeo vya kupeana
Kamanda akifika uwanja wa mapambano kivita hamna kitu ni kutimua mbio tu huku akilia kama mwehu mama weee
Jana jioni breaking news Goma imeangushwa sasa unakuja habari nyengine, chanzo chako ni mashaka mashaka ueandika na kujithibitishia mwenyeweInaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa.
Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya jeshi la Kongo baada ya majenerali na wengine wa vyeo vya juu kukimbia.
January 20, 2025 Congo walikuwa na ibada ya kumuomba Mungu awatie imani Tanzania iwasaidie,Wacongo wanaamini mgogoro wao ulipofika Mungu pekee kupitia Tanzania ndiyo msaada uliyobaki uki M23 ikiwa imeshakuchukua maeneo muhimuTanzania tulivyopigana na Uganda viongozi wetu wa juu wa jeshi hawakuwa front?
Chanzo ni 'tweet'Chanzo buyobe!?
Ingekuwa angalau Al Jazeera sawa
January 20, 2025 Congo walikuwa na ibada ya kumuomba Mungu awatie imani Tanzania iwasaidie,Wacongo wanaamini mgogoro wao ulipofika Mungu pekee kupitia Tanzania ndiyo msaada uliyobaki uki M23 ikiwa imeshakuchukua maeneo muhimu
HahahahaChanzo ni 'tweet'
Naangalia hapa Al Jazeera jamaa ndio kwanza wanatamba mitaa ya Goma huku wakisafisha mjiChanzo ni 'tweet'
Hahahaha.....
Drc imevamiwa na Rwanda kupitia wahuni wa M23.Naangalia hapa Al Jazeera jamaa ndio kwanza wanatamba mitaa ya Goma huku wakisafisha mji
Kimsingi wanatumia mbinu Ile Ile ambayo Rwanda walitumia pale Kigali 1994
Ndio uhalisia na wakichukua Goma wanaungana na Rwanda Kisha wanafanya expansion ya mipaka kama wayahudi pale middle east taratibu hadi Rwanda na Kongo zinakuwa na ukubwa sawa huku Rwanda ikichukua rasilimali muhimuDrc imevamiwa na Rwanda kupitia wahuni wa M23.
Jamaa gani! Jwtz?Naangalia hapa Al Jazeera jamaa ndio kwanza wanatamba mitaa ya Goma huku wakisafisha mji
Kimsingi wanatumia mbinu Ile Ile ambayo Rwanda walitumia pale Kigali 1994
Walikuwepo tèna wale top ranking kabisa hadi nyerere mwenyewe akaenda kuwatia moyo hukohuko uwanja wa vita..Tanzania tulivyopigana na Uganda viongozi wetu wa juu wa jeshi hawakuwa front?
Urongo.January 20, 2025 Congo walikuwa na ibada ya kumuomba Mungu awatie imani Tanzania iwasaidie,Wacongo wanaamini mgogoro wao ulipofika Mungu pekee kupitia Tanzania ndiyo msaada uliyobaki uki M23 ikiwa imeshakuchukua maeneo muhimu
Januari 22,Mkuu wa Mafunzo na Oparesheni za Kivita wa JWTZ,Meja Jenerali Ibrahimu Mhona,akiambana na Mkuu wa Itifaki Kimataifa wa JWTZ Meja Jenerali,Mbaraka Naziady Mkeremy,walifanya ziara fiche kwenda Congo.kilichofata vilishushwa vyuma hatari
Hadi jana asubuhi maeneo mengi yamekombolewa,wakongo wengi wanashangilia Tanzania Tanzania,Tanzania Wakongo wanaamini anayeratibu machafuko kwao ni Rwanda.Rai yao Rwanda apigwe ili kukomesha vurugu
Goma leo imekuwa na shangwe kubwa kumbe watz watu wa maana tunaogopwa sana aisee Mungu awalinde wapiganaji wetu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
Na ndio wamejaaTanzania wajifunze kupitia hili.. ipo siku kitaumana halafu baba kanituma wajisalimishe kwa maadui.. itakuwa ni aibu sana
Hivi mnaposema jeshi la Congo ni dhaifu , Kwa kiasi hicho mnachosema si ingekua washafika Hata Kisangani hao waasi ? au kufika Lubumbashi?
Ha hahahaha ni kweli usemalo lkn kufika Kinshasa ni ngumu.Bwana Mandala, nchi kubwa ile.
Mzaha Mzaha wale wahuni wanaweza kufika Kinshasa.
Lamsingi ni Wacongo kushikamana na kulipambania Taifa lao sasa, vijana waingie jeshini sasa kujitolea ili waumalize kabisa mgogoro huo.
Suluhu ni kuipeleka vita pale Kigari wamtoe PK ndio DRC inaweza kuwa shwari.
M23 hawataki kuwasikia JWTZ wanakwambia "hawa JW NI hatari wanapiga usiku, mchana, jua mvua wao wanapiga tu hujui hata wanakula na kulala saa ngapi? NI wao ndio walituondoa" kile kipindi walichopigwa wakakimbilia Uganda [emoji3][emoji3]Ikawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Ha hahahaha ni kweli usemalo lkn kufika Kinshasa ni ngumu.
Na kuhusu vijana wako vijana wazalendo wanajiita Wazalendo wanapambana nao wao
Hii baba kantuma ilikukumba nini? Kweli kabisa,Tanzania wajifunze kupitia hili.. ipo siku kitaumana halafu baba kanituma wajisalimishe kwa maadui.. itakuwa ni aibu sana