M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

Subiri wazee wa kazi wamalize zamu ya kufanya usafi.
 
Endelea kujidanganya
 
Haka kazee ni balaa tupu nlishasikia mpka baadhi ya mawizara kibao ameingiza wanyarwanda
 
Kagame ni rafiki wa Samia( Samia ni yule mama aliyegawa bandari yetu kwa waarabu)
Wewe kwenu Kilimanjaro kuna bandari au kuna eyapoti? Na yenyewe tayari mmeshindwa kuiendesha tunawapa wa Oman waiendeshe.
 
Unataka kureason Nini wakati vitu viko wazi. Au haujui kama M23 upo Congo. Unajua kutumia Google ? Basi jifunze kutumia Google alafu tafuta Makala za Hima Empire na M23
Kwamba Lengo la PK na M7 ni kuitawala Tz hii ninayo ifahamu??
Naamini wewe ndio hujui historia au nguvu ya kila Nchi katika ukandaa huu wa Africa Mashariki.
Nenda kajifunze zaidi, acha hizo habari za kusadikika.
 
Kwamba Lengo la PK na M7 ni kuitawala Tz hii ninayo ifahamu??
Naamini wewe ndio hujui historia au nguvu ya kila Nchi katika ukandaa huu wa Africa Mashariki.
Nenda kajifunze zaidi, acha hizo Habari za kusadikika.
... umeelewa MKAKATI?
... kwanza wanateka na kuzitawala Burundi na Kongo na kujiimarisha kiuchumi na kiteknolojia,
... THEN TANZANIA FOLLOWS!
QUITE PLAUSIBLE! 💀💀💀☠️
 
Kwamba Lengo la PK na M7 ni kuitawala Tz hii ninayo ifahamu??
Naamini wewe ndio hujui historia au nguvu ya kila Nchi katika ukandaa huu wa Africa Mashariki.
Nenda kajifunze zaidi, acha hizo habari za kusadikika.
Kwani Tanzania inatofautigani na hiyo Congo? Unadhani Wacongo hawana akili au hawapendi amani kama Tanzania ? Kwa Taarifa yako, Hao Wacongo unaowaona Leo wanalala porini, huko Nyuma kabla ya Watusi kujipenyeza na kujiita M23 walikua wanaishi kwa amani na furaha kama wewe leo. Mambo tanayotokea Leo DRC ni mpango tangu miaka 1950s kabla hata ya uhuru WA Tanganyika. Tatizo sio Kagame kwani hata akija mwingine Bado atasimamia mpango wao.
Kama wewe ni Mtusi nadhani unajua mnavyo fundishwa kuwa Nyinyi ni damu takatifu toka Israël na Afrika yote ni Mali yenu mlipewa na Mungu.
Unajua mnavyo fundishwa kuwa Hima Empire inatakiwa kufika mpaka South Afrika.
Nenda Congo kaangalie Watusi wamepewa haki zote lakini hawaridhiki mpaka waigawe Congo ili wao wachukue sehem yenye madini Kisha waunganishe na Rwanda.
Hungereni Watusi kwa kusimamia mambo yenu
 
Endelea kujidanganya. Sijui kwanini mnaitukuza sana Rwanda.
Waambie hata leo waje
Mkuu, vita haijawahi kutabiriwa kirahisi hivyo kwamba Congo atampiga Burundi kwa kipigo kizito, au Rwanda kumpiga Uganda au Tanzania kumpiga Rwanda.

Kwa uduni wa silaha na tech, US akashindwa mbele ya Taliban, akadondokea pua Vietnam. Vita ya masaa 72, yaani siku 3, hatimaye inamtoa jasho Mrusi dhidi ya Ukraine.

Kwa wingi wa majeshi ya waarabu, walipigwa na Israel within 6 days.

Vita haiwezi kutabirika kwa maneno kwa kuongea tu hivi.
 
Ndugu nakuomba Ile simulizi yetu ya safari Yako ya huko DRC naomba uiendeleze ndugu yangu alafu Kuna issue PM umeiacha pending
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…