USITAMANI KABISA NCHI YETU IINGIE KTK VITA AINA YOYOTE ILE. FUTA HUO UJINGA KICHWANI USIUWAZE TENA.Mi mwenyewe namtamani huyo mwanamwali Kagame ajichanganye huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USITAMANI KABISA NCHI YETU IINGIE KTK VITA AINA YOYOTE ILE. FUTA HUO UJINGA KICHWANI USIUWAZE TENA.Mi mwenyewe namtamani huyo mwanamwali Kagame ajichanganye huku
Wangekuwa waislam wangesema magaidi,ila kwa vile yote mila nguruwe hatusikii ugaidi P*mbavu zaoJeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo.
Waliokufa vibaya ni Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita.
Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.
Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.
Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao.
Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.
Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia wa Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania.
Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.
Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.
Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.
Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo.
Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.
Hongera sana DRC
Tumelaaniwa kiakiliTanzania ujinga ni mwingi sana uwezo wa ku reason ni mdogo.
Rwanda avamie Congo then Tanzania. duh
Aisee hii habari utafikri tulikuwa wote siku muharifu mmoja alipo kamatwa na majeshi yetu kipindi kile ambacho Rwanda,Burundi na Uganda walipopanga kumpindua Kabila kwa madai ya kukiuka makubaliano yao waliokuwa wamekubaliana kwa kuwa Kabila alilewa kwa sehemu kubwa na Tanzania,yule mateka alieleza kitu kama hiki ulichokielezea.Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire
Mkuu unavyoongea utadhani hao watusi hawajui mziki wa TZ.Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
Jichanganye tu we KagameUSITAMANI KABISA NCHI YETU IINGIE KTK VITA AINA YOYOTE ILE. FUTA HUO UJINGA KICHWANI USIUWAZE TENA.
Kagame hana urafiki wa kudumu na mtu yoyote hata Magufuli walidumu pafupiKagame ni rafiki wa Samia( Samia ni yule mama aliyegawa bandari yetu kwa waarabu)
Mkuu taarifa hiyo nilitaka iwafikie watusi wa kigali na wale wa JF.Mkuu unavyoongea utadhani hao watusi hawajui mziki wa TZ.
Huna haja yakuwaonya wenyewe wanalijua hilo.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kamzalie mtoto Mkuu.Nasimama na rwanda namkubari sana kagame aisee
Upo sahii, na hili lengo lao la kutaka kuivamia Tanzania nchi kama nchi tunalifahamu tokea kitambo.Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo.
Waliokufa vibaya ni Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita.
Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.
Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.
Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao.
Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.
Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia wa Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania.
Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.
Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.
Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.
Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo.
Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.
Hongera sana DRC
Huu ni mkakati wa kijinga na WA kufikirika TU, hautakaa uwezekane milele.Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire
Nakubaliana nanwewe mia kwa mia.hizi ni sawa na ndoto za tanzania kuivamia marekan....manaikuza sana rwanda inasikitishaa
Sawa kabisa wala haikatazwi mtu kua mshabiki wa mtu mwingine.anaweza akakuvutia kwa jinsi anavyoijenga nchi yake.Nasimama na rwanda namkubari sana kagame aisee
Hiki chanzo we umekitoa wapii ujue kati ya hao uliowataja hapo juu kuwa wameuwawa mmoja wapo ni Mwana familia yangu.Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo.
Waliokufa vibaya ni Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita.
Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.
Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.
Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao.
Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.
Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia wa Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania.
Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.
Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.
Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.
Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo.
Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.
Hongera sana DRC
Sawa mkuu,Iko hivi.Ramani ya Empire Hima (Tutsi Empire) hii hapa. Mpaka Mwanza iko Rwanda
Ha haha haa.pia usisahau kua Tanzania ya miaka hamsini ijayo haiwezi kua kama ilivyo Leo.ukiitazama Rwanda ya leo kwenye war scale na Tanzania,Rwanda haifurukuti hata punje ya mchanga kwa tz.
ila ukiitazama Rwanda ya 50+yrs ijayo,na kwa jinsi nchi yetu ya tz ilivyo shaghala baghala ipo siku Rwanda itatuliza machozi ya damu.
Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire