Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
'....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.'

Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi.

Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau.

Alipofika nyumbani ghafla alianza kusikia miguno chumbani kwa mabinti zake ilhali alitambua familia yote ipo kanisani.

Baada ya kutaka kujiridhisha na kisababishacho mguno huo kwenye chumba cha mabinti wake ghafla alimkuta kijana Jofrey yu-juu mawinguni ya binti yake!

Baada ya yote ndiposa binti kwa ujasiri alimuuliza baba yake swali lile juu bila hiyana.

Nimeacha taharuki hiyo ikiendelea hapo kwa jirani.
 
Hahaaa siku ya ibada Kila mtu anasali kwa namna yakee. Itakuwa mtoto kanogewa na pipi kijiti ya Jeffrey
Kishikwambi kitakuwa kimenasiana
 
Vitu vingine ni vikubwa lakini tujaribu kuvidosha!
Ukiishi hivo maisha yatakuwa rahisi mno.Kwa mfano mzee wa watu pamoja na maumivu hayo(kwa kuwa yeye hawezi kumcharaza kwa umri huo) anamwitia mgambo au peleka kituoni kabisa.msulubishe huku ukimtaka ajutie kosa.Kama hajutii basi unampa nafasi tena kwa kumlazimisha afanye kazi flani bado akigoma unamwambia aende ajuapo,siku akijua we ni mzee wake arudi(kamwe usimtamkie laana wala kumfukuza kabisa mwanao) maana kama ni janga ulilileta mwenyewe duniani!
 
Back
Top Bottom