UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Umeelewa nilichokuandikia?
Baada ya kusoma na kuelewa ulichoandika ndiyo nami nikaandika hivyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilichokuandikia?
Baada ya kusoma na kuelewa ulichoandika ndiyo nami nikaandika hivyo..
Basi hukunielewa .....!!
......kuna vifungu kwenye bible vinaweza rudisha imani ya mtu nyuma, hasa agano la kale.
ETI HIZI NI SIFA ZA NABII MUHAMMAD (PBUH)Post zako zinazidi kutia mashaka na utakatifu wa Biblia.
Hiki kitabu ili uamini yaliomo inabidi unapokisoma akili yako uweke pembeni.
Muhammad Amtwanga Changu doa wakeNasoma tofauti?
Koran inasema kuwa, sifa Moja ya Mungu ni "Mfalme". Je, Yesu anayo hii sifa ya "Mfalme"? Haya tusome Quran kwanza.Bila kusahau huo mlima una urefu gani mpaka uione dunia nzima ukiwa kileleni.
na angempa vipi kama kweli yesu ni mungu wakati mungu ndo kaumba vyote?.ni sawa na mtu tajiri uko na gari lako hammer halafu anakuja mtu anakwambia hii hammer nitakupa iwe yako kama utafuata ninachokwambia.
very nosense.
Koran inasema kuwa, sifa Moja ya Mungu ni Mfalme. Je, Yesu anayo hii sifa ya Mfalme? Haya tusome Quran kwanza.
Quran 59: 23
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.
Sasa tuangalie kama kweli Yesu anayo hii sifa ya Mfalme ambayo ni adhama ya Mungu pekee kutokana na Koran.
Biblia takatifi inasema yafuatayo kuhusu Yesu Kristo:
Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa Bwana na Mfalme wa Wafalme.
Katika aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa Mfalme wa Wafalme ambayo ni adhama ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi , Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14.
Tuendelee na ushaidi mwingine kutoka Koran ambao unatuhakikishia kuwa Yesu ni Mungu.
Post zako zinazidi kutia mashaka na utakatifu wa Biblia.
Hiki kitabu ili uamini yaliomo inabidi unapokisoma akili yako uweke pembeni.
Nimependa hapo niseme tu kidogo, hapana agano kufanyika pasipo DAMU kumwagika. Ndoa ni agano ndio maana bikra ilihusika kitoa damu ili agano likamilike...by those days.
Ila sasa hakuna bikra na watu wanao kama kawaida, si kama damu haipo katika maagano ya siku hizi lah hasha tunao soma maandiko na kuamini NENO twaamini pia ile Damu aliyomwagika pale msalani ndio twaitumia ama kuihusisha na maagano yote na ndoa ikiwemo.
Halafu mkuu niliwahi kukuuliza kama kuna mahusiano wa yale majina ya Aikaeli,Pendaeli na Anaeli pamoja na akina Michaeli,Raphaeli na Israeli ....!!
Biblia unaposoma ni tofauti na kitabu cha hadithi.......kuna busara ndani yake lazima utumie...! Hata Yesu alipozungumza kuna kipindi alikazia na kusema MWENYE MASIKIO NA ASIKIE......akimaanisha kuna ufahamu zaidi ya kusikiliza tu.....
Nikirudi kwenye swali lako....ni budi ujue kuna mambo mawili makubwa wakati wa Musa;
1. Kwanza kuna amri za MUNGU ambazo Musa alipokea kupitia mbao zile za mawe.....hizo ndizo amri kuu...ambazo Yesu alipokuja kuitimiliza torati ali-summarize kuwa mbili i.e. Mpende BWANA Mungu wako na pia mpende jirani yako kama nafsi yako.
2. Pili kuna amri za Musa....! Ukumbuke wakati wana wa Israel wakitoka Misri ca. 600,000 people lilikuwa ni taifa tayari lakini watu wale walipokuwa Misri walitawanyika maeneo mbali mbali na walifuata mila na desturi za kimisri. Hivyo wakati wakitoka Misri hakukuwa na kanuni wala taratibu zozote za kuwaongoza kama taifa/jamii, hivyo ilibidi kuandika taratibu zao za kuwaongoza kama jamii ndio maana zimejaa mambo ya kimwili ziadi.....! Angalia zaidi utatambua hilo...mfano mtu akiua...alitakiwa kimbilia kwenye mji wa makimbilio ili kujiepusha na walipizaji kisasi........na haikuruhusiwa kumdhuru mtu huyo iwapo hakukamatwa mpaka ameingia mji huo....! Kwa maana rahisi kabisa amri za Musa zilikusudia kuleta mwongozo wa kiutawala katika jamii kwa ngazi ya chini kabisa.......hivyo wazee katika mahali husika waweze kutatua migogoro kupitia miongozo hiyo.....!
Natumaini nimefafanua kwa kiasi cha kueleweka...!
hapa unatafuta justification isiyo ya msingi.kama damu ya yesu iliyo mwagika msalabani ndio agano kwa sasa kwa nini kuna kuvunja sheria au kuna dhambi tena basi tuseme sasa hivi hamna kitu kinachoitwa dhambi.vinginevyo uniambia wewe ulikuwepo kipindi yesu anakuja hvyo kama ulifanya dhambi ya kutoa bikra ndo yesu alimwaga damu pale msalabani badala yako.
Koran inasema kuwa, sifa Moja ya Mungu ni "Mfalme". Je, Yesu anayo hii sifa ya "Mfalme"? Haya tusome Quran kwanza.
Quran 59: 23
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.
Sasa tuangalie kama kweli Yesu anayo hii sifa ya Mfalme ambayo ni adhama ya Mungu pekee kutokana na Koran.
Biblia takatifi inasema yafuatayo kuhusu Yesu Kristo:
Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa Bwana na Mfalme wa Wafalme.
Katika aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa "Mfalme wa Wafalme" ambayo ni adhama ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi , Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14.
Tuendelee na ushaidi mwingine kutoka Koran ambao unatuhakikishia kuwa Yesu ni Mungu.
So, if Jesus is Issa and their God is the same, are you telling me that Allah is now the FATHER? Quran says, Allah is not a Father and has no ability to be one has no a son.
[Jesus said], "And indeed, Allah is my Lord and your Lord, so worship Him. That is a straight path." link Surat Maryam [19:36] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:17
So, if Jesus is Issa and their God is the same, are you telling me that Allah is now the FATHER? Quran says, Allah is not a Father and has no ability to be one has no a son.
NOW YOU KNOW, Jesus is not Issa and Allah is not the God of Abraham.
Je Yesu anaposema "Mungu wangu na Mungu wenu" anamaanisha nini?By Nonda![]()
[Jesus said], "And indeed, Allah is my Lord and your Lord, so worship Him. That is a straight path." linkSurat Maryam [19:36] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:17
So, if Jesus is Issa and their God is the same, are you telling me that Allah is now the FATHER? Quran says, Allah is not a Father and has no ability to be one has no a son.
NOW YOU KNOW, Jesus is not Issa and Allah is not the God of Abraham.
Mbona unaanza mbali weye.Hivi Jesus ana Mungu wake? Mungu wa Jesus ni yupi?
God wa Abraham ni yupi?
Mkuu vipi? Inawezekena "mungu" awe na Mungu?
Unazidi kulikoroga, Mchungaji.