Ma-jobless thread

Unambiwa ni kuamka saa 12 na kuanza ku-tune wasafi fm na kuwasikikiza wakina Maulid Kitenge, then wanakuja wachambuzi wa mchongo wakina sports arena kikiisha kipind chao saa 5 hiyo wakija mashamsham na-switch Clouds namalizia leo tena kipindi cha kina Mwijaku mpaka saa 7, wakija mabishoo wale XXL nazima redio.

Hapo unapigwa usingizi na kuperuzi JF majukwaa ja ajira mpaka saa kumi na moja narudi tena redioni naanza na wasafi fm kipindi cha kina baba levo(chawa wa taifa) cha mgahawa sahivi kinaitwa jana na leo nakipiga kile mpaka saa mbili. Hapo naanza utaratibu wa kujitetea (kupata msosi) theni saa 4 narudi upendo fm kula injili siku imeisha.....life goes on.
 
Unakaa ndani tuu kama mwali🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…