Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Mbona ni kawaida hii ni platform ya kujisomea na kuandika , sioni ubaya wa mtu kuhamisha maarifa kwa wengine kama lengo ni elimu hata akivaa uhusika mradi ni kwenye mambo ya msingi ya kujenga.

Hata wanaoandika hapa JF asilimia hawatoi kwenye vacuum kuna mahala walisoma au waliona wakataka kujadili na watu na likajadiliwa fresh tu.
 
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.

Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.

Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!!
elimu haina mwisho ndrugu zangu,

ni muhim sana kujifunza kila tunapopata fursa na nafasi ya kufanya hivyo ili kuongeza uelewa na ufahamu juu ya masuala mbalimbali mtambuka humu duniani.

kuna ubaya gani mdau wa ndani au nje ya jamii JF, kusambaza upendo bila choyo kuwafundisha au kuwaelekeza wengine mambo muhimu ambayo chimbuko lake ni maandiko ya wadau muhimu wa humu JF ?

mi nadhani hilo sio tatizo hata kidogo, Lazima, kusambaza maarifa na ujuzi kutoka JF kwenda kwa wengine wengi nje ya JF kwa manufaa ya vizazi na vizazi vijavyo, tuache uchoyo 🐒
 
Mbona ni kawaida hii ni platform ya kujisomea na kuandika , sioni ubaya wa mtu kuhamisha maarifa kwa wengine kama lengo ni elimu hata akivaa uhusika mradi ni kwenye mambo ya msingi ya kujenga.

Hata wanaoandika hapa JF asilimia hawatoi kwenye vacuum kuna mahala walisoma au waliona wakataka kujadili na watu na likajadiliwa fresh tu.
Upo sahihi ila zingine ni tafakari za mtu binafsi
 
Back
Top Bottom