Kaka umeongea neno kabisa, nikakubaliana na wewe hawa Ma-TO wanaspend more time than ana average student coz wanajua kabisa wanataka nini.Hawa ma T.O wanasoma sana usiwaone hivyo, on average T.O anasoma masaa 10 kila siku, sometimes they spend sleepless nights kisa kusoma, mm naamini kuna wanafunzi wengi tanzania wana uwezo mkubwa wa kiakili wa kuingia top 10 kitaifa/au kupata div 1 point 7 "O" level, sema ni wavivu kusoma Super Sub Steve
Hawa ma T.O wanasoma sana usiwaone hivyo, on average T.O anasoma masaa 10 kila siku, sometimes they spend sleepless nights kisa kusoma, mm naamini kuna wanafunzi wengi tanzania wana uwezo mkubwa wa kiakili wa kuingia top 10 kitaifa/au kupata div 1 point 7 "O" level, sema ni wavivu kusoma Super Sub Steve
Wewe kua T.O then you'll find out what my company is about...Company ya kuuza watu Libya au ya ushoga?
huyo alisomaga tabor a boys akahamishiwa pugu boys advnce ila o level sawa Azania na nimwembamba piaMwarami ni yupi maana nina school mate wangu mmoja alikuwa mzur academically japo hakunifikia,alisoma azani olevel advance mzizima ni mwembamba nahc anakaa mbagala
Hahaha Mzee was pond nambie ulikwa unakaa wapi azimio maendeleo hivi babu nzoi yupo?Tukiwa form five pale Pugu, kuna kichwa kichwa tulikikuta chenyewe kilikua form six PCM jamaa alikua ni mbaya sana wa namba form six wa 2009 watakua wanamkumbuka huyu Pugu Boy sema jina limenitoka.
Pepa za namba za Mock, kwa Manyilizu zote hadi taifa jamaa aliwakimbiza balaa.
Mshikaji alienda UDSM Mineral Engineering ila sijui kwa sasa yupo wapi..?!!
Huyo hakumaliza pugu2006 mir nimemaliza pale 2006Nilisoma Adv kwake VICTORIA ACADEMY akatuambia alimaliza 6 PUGU 2006 akapata 1.7
PHYSICS-B
CHEM-D
MATH-A
Ila olev alituambia alipiga AZANIA div 1.9 akiwa na "A" 5 ikiwemo PHYSICS,CHEM,MATH,AD MATH,BIO....
Ila sana nikimwangalia katika matokeo ya 2003 azania na 2006 pugu simuoni kabisa
hao wote,hakuna ktu , benadino mgimba ndo kiboko yako. Kasoma kata then MINAKI shule ya kawaida ila kawa wa tatu kitaifa na bado mlimani kawambiza sana. So huwez kulinganisha na hao waliosoma feza au marian
Heshima yako bro.Huyo hakumaliza pugu2006 mir nimemaliza pale 2006
FAITH wa MARIAN G,,Minaki inahadhi sawa na AZANIA tu.Kashule Fulani hivi polini huko,,ukitoka PUGU BOYS Unadaka Gari za Kisarawe unashukia MINAKI.jamaa naskia alikuwa mkimya sana bwana mgimba, Tena jamaa naskia kina Gwamaka walikuwa wanamskia chini chin.. Hiv Minaki shule kubwa nayo?!, na huyu bwana faith alisoma chuo gani?!
Kama wewe walivyokuoaWamekuoa mkuu
Kama wewe ambavyo yatakutokeaYatakutokea puani na makalioni
Huyu ni zaidi ya chegereView attachment 654129
Huyu nimuandikie TU maana hakuna nisichokijua KUHUSU MOSSES
Huyu T.O Kasoma UDSM(Bachelor) na UDOM(Masters)
Huyu ndio anaweza akawa anamkaribia CHEGERE kwa mbaliiiii