Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Mkuu hebu kuwa serious basi hata KIDOGO,yani huyo Kibabu wako MTATA unamfananisha na MASTER Mwaramy aka MWARAMSHA??????

Angalau Log Man ukimfananisha na MWARAMY Ndio nitaomba KURA ya maoni..
 
kuna fundi mmoja alikua yupo mzumbe remix alikua anaitwa Kwiza jamaa alimalizia mzumbe no alitia 100% na yaliyobaki yote A kwa kifupi PCM alitia 3 mwaka wake jamaa alikufund sana akawa anachukua tele pale udsm ni mda sana ila dogo asa ivi anakula maisha....


wote waliopitia mzumbe remix na mzumbe a level watakua wanamfahamu uyo fundi mpaka kupewa na cheti juu kwenye no
 

kumbe ww nawe upo vizur, i hope una div 1 form 4, na form 6 Extrovert
 
andaa data za hawa ma T.O, faith assenga, immaculate mosha na wolfgang seiya, if possible, Maana nlisikia immaculate mosha alijisifu atakuwa tena wa kwanza form 6 lkn alipigwa chali akawa wa 5 kitaifa Deadbody

OLEV 2009 iMMACULTE ALIKUWA WA KWANZA na FAITH akawa wa 7 .
ALEV FAITH akawa wa kwanza na IMMACULATE akawa wa 5
 
Kuna kijana wenu mwingine nimemaliza nae pale sua the same class Dr Julius Luvanga jamaa amepiga banda za kutosha.....

Amevunja rekodi za ma prof wa miaka hiyo nadhani performance yake haijawahi tokea pale kwa kitivo chetu na chuo kwa ujumla.....
 
Martin ndo yupi tupe detail zake kidogo
martin chegere kaongoza darasa la 7 taifa wakati anasoma ukonga.Akachaguliwa kibaha hakwenda,akaenda maua seminary akawa t.o o lev,akaenda pugu advance akawa t.o,akaend udsm bachelor akaongoza,masterz udsm akaongoza,akaenda Phd sweden akaongoza.
karudi ud anafundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…