Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
View attachment 654129
View attachment 654129
Huyu nimuandikie TU maana hakuna nisichokijua KUHUSU MOSSES
Huyu T.O Kasoma UDSM(Bachelor) na UDOM(Masters)
Huyu ndio anaweza akawa anamkaribia CHEGERE kwa mbaliiiii
Nimekusoma2007 alimaliza advanc co o lev
Hata hivyo tulijua tuko na T.O mule ndani paper nyingi mule class alikuwa ni mtu wa 85+ Yaani alikuwa anakula banda kama hana akili nzuri......Huyo dogo jully luvanga aliingia top ten kwa combination ya CBA advance aliweka 4, so hajaanzia chuo
Vipi vijana wa udsm kuna jamaa yangu alikuwa anaitwa salvatory kessy kijana wa majengo alikuwa akisoma actuarial science alimaliza 2015 vipi hakufanya maajabu kweli hapo.....aliyekuwa t.o udsm km unavyoita mwaka jana alikuwa Danny toka pspa.
halafu jamaa toka department jericko mtu mfupi aka bendera ya chuma akawa hamkubali jamaa et hana merits 4.8
Mkuu naomba nilete uthibitishoaliyekuwa t.o udsm km unavyoita mwaka jana alikuwa Danny toka pspa.
halafu jamaa toka department jericko mtu mfupi aka bendera ya chuma akawa hamkubali jamaa et hana merits 4.8
Jamaa kanifundishwa tuition pale pacha learning center dadeq alikuwa ni nyokoDeadbody unampata mwamba mmoja toka ilboru wakuitwa Michael Kundete 2007 alipga iyunga aliongoza, akaenda a- lev pcb 1.3 ilboru 2010 hapo yeye ndo aliongoza
akaenda MD Muhimbili.
S0110/0607
M
MICHAEL KUNDETE
3
I
G/STUDIES-S PHYSICS-A CHEMISTRY-A BIOLOGY-A BAM-
Naandaa data za T.O 1993 Mzumbe anaitwa LUSEKELO...Nikipata naiman mzigo utakuwa HEWANI JF
ww tafuta vyanzo vyako tena huyo ndo jamaa aliongoza hatareMkuu naomba nilete uthibitisho
huyu jamaa yangu sana alinipita darasa moja!Jamaa kanifundishwa tuition pale pacha learning center dadeq alikuwa ni nyoko
Sylivester huyuhuyu anayekunywa mataputapu Mlalakuwa??
Pesa sio kila kitu mkuu...sometime status tu unashiba kama mjumbe wa mtaa vile he/she got nothing ila mara zote wajumbe wanafuraha na kazi zaoWana pesa hawa lakini? Au mbwembwe tu
Sure thing.Sasa mnubi simba si yupo Algeria huyo dogo namjua
Hahahahaaaaaa we jamaa umeua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana sababu naskia alikuja pia kuwa mwanafunzi bora udsm ila kwa sasa akili zake zimekuwa kama za kisandu
Log yupi huyu mnayemzungumzia vijanaLog boy..
Jamaa alikuwa anamkubali sana babu .
sema nae yko vizuri pure ila anabore kumdiss dis mwarami mda wote.
Boss nawe ulipita yale maeneo kumbe. .??