Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
View attachment 654129
View attachment 654129
Huyu nimuandikie TU maana hakuna nisichokijua KUHUSU MOSSES
Huyu T.O Kasoma UDSM(Bachelor) na UDOM(Masters)
Huyu ndio anaweza akawa anamkaribia CHEGERE kwa mbaliiiii
Dah mwalimu wangu huyu kwenye Masters yangu, jamaa anafundisha usipoelewa anakufundisha kwa adithi mwishowe unaelewa, yupo vzr sana