Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Kuwa Yesu, Alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu na si Mungu.

Hakuna mahala Yesu amewahi kusema "mimi Mungu" au "niabuduni".
Kumuabudu yesu kunafanana na kule ambako malaika waliambiwa wamsujudie Adamu kwa mujibu wa Quran?
 
Kuwa Yesu, Alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu na si Mungu.

Hakuna mahala Yesu amewahi kusema "mimi Mungu" au "niabuduni".
Kumuabudu yesu kunafanana na kule ambako malaika waliambiwa wamsujudie Adamu kwa mujibu wa Quran
 
inategemea hizo longolongo umezichukuliaje kwasababu hata wengine nao wanashangaa unapomuombea Mohammad,wapo wengine nao wanashangaa kipindi kama hiki cha ramadhani unakuta aya za Quran zinasomwa na waumini wanaitikia amina ukiwauliza kama walikuwa wanaelewa wanajibu hapana kikubwa kuitikia tu,unakuta watu wanaenda maka wanaanza kurusha mawe eti wanampiga shetani je huu sio ujuha?
Tunamuombea Yesu, alayhi salaam, pia.
Hatuwatofautishi mitume ya Allah (Mwenyezi Mungu) .
 
Waislam mbona hawalalamiki shule kufungwa wiki nzma kwa ajili ya pasaka Kila mwaka?
Na mwaka huu wamepunguza ilikua wiki mbili watu wanafunga shule kusubria pasaka,
Mm naona Kuna haja ya kuminya zaid Ili wengne nao tusikie wakilalamika maana wanajifanya hii nchi ni ya Nyerere na katoliki
 
Waislam mbona hawalalamiki shule kufungwa wiki nzma kwa ajili ya pasaka Kila mwaka?
Na mwaka huu wamepunguza ilikua wiki mbili watu wanafunga shule kusubria pasaka,
Mm naona Kuna haja ya kuminya zaid Ili wengne nao tusikie wakilalamika maana wanajifanya hii nchi ni ya Nyerere na katoliki
Je mwezi wa 9 napo shule zinapofungwa wanasubiri nini?
 
Anaeombewa ni Mohammad tu usipotoshe
Hauujuwi Uislam, usijipotoshe.

Huoni kila tunapomtaja Yesu, alayhi salaam, tunaweka maneno "alahyi salaam"? Hi yi nu dua ya kumuonba salama na amani iwe juu yake.

Umeqahi jumsoma Yesu na mama yake Bi Maryam, alayhum salaam, kwenye Qur'an? Au unajisemea tu?

Nakushauri, ukitakabkuujuwa Uislam tuulize Waislam, usifate uongo wa wajinga.
 
Tukiongezea na hili hata yesu alikula pasaka
kabisa . Yesu alisulubiwa wakati wa pasaka, watu wamelishwa sumu kuwa pasaka ni kufufuka kwa Yesu.
Yesu alikula pasaka na pia akaelekeza cha kufanya kwa ajili ya kumbukumbu yake. Alifanya sherehe na mitume wale 12, aliwaosha miguu, akamega mkate kisha akawanywesha divai, akaagiza ifanyike hivo kwa ukumbusho wake.

Yesu katika Pasaka pamoja na Wanafunzi
Mathayo 26:17 Hata siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka? 18Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.

19Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka. 20Basi kulipokuwa jioni aliketi chakulani pamoja na wale Thenashara. 21Nao walipokuwa wakila, alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu atanisaliti.

22Wakahuzunika sana, wakaanza kumwuliza mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana? 23Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika kombe, ndiye atakayenisaliti. 24Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa. 25Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabi? Akamwambia, Wewe umesema.

Kuasisiwa kwa Chakula cha Bwana
26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu 27Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki; 28kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. 29Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. 30Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.
Yesu asema kuwa Petro Atamkana
 
Hauujuwi Uislam, usijipotoshe.

Huoni kila tunapomtaja Yesu, alayhi salaam, tunaweka maneno "alahyi salaam"? Hi yi nu dua ya kumuonba salama na amani iwe juu yake.

Umeqahi jumsoma Yesu na mama yake Bi Maryam, alayhum salaam, kwenye Qur'an? Au unajisemea tu?

Nakushauri, ukitakabkuujuwa Uislam tuulize Waislam, usifate uongo wa wajinga.
Hebu tuanze na hapa hakuna nabii au mtume ambae amewahi kuombewa na kuswaliwa na Allah ukimuondoa Muhammad, na hakuna mtume aliewahi kuwataka waumini wake wamuombee ili wapunguziwe dhambi zao zaidi ya Mohammad
 
Hebu tuanze na hapa hakuna nabii au mtume ambae amewahi kuombewa na kuswaliwa na Allah ukimuondoa Muhammad, na hakuna mtume aliewahi kuwataka waumini wake wamuombee ili wapunguziwe dhambi zao zaidi ya Mohammad
Hayo unayoyasema sifahamu umeyatowa wapi, soma kipande hiki kidogo ...

Uislamu ndiyo dini pekee nje ya Ukristo yenye kipengele cha imani ya kumwamini Yesu Kristo. Yesu, alayhi salaam, ametajwa mara ishirini na tano ndani ya Quran na ana daraja la heshima pamoja na Mitume wengine wakubwa wa Mwenyezi Mungu.
 
pasaka ni kufufuka kwa Yesu?
Mi ninavyojua pasaka ni maadhimisho ya Waisrael kutoka misri utumwani

Kutoka12:12 Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana.

13 Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.

14 Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa Bwana; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.

15 Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba; siku hiyo ya kwanza mtaondoa chachu yote isiwe katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula mkate uliochachwa tangu siku hiyo ya kwanza hata siku ya saba, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na Israeli.

16 Siku ya kwanza kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu, na siku ya saba kutakuwa kusanyiko takatifu; haitafanywa kazi yo yote katika siku hizo, isipokuwa kwa hiyo ambayo kila mtu hana budi kula, hiyo tu ifanyike kwenu.

17 Nanyi mtaitunza ile sikukuu ya mikate isiyochachwa; kwa kuwa katika siku iyo hiyo mimi nimeyatoa majeshi yenu katika nchi ya Misri; kwa hiyo mtaitunza siku hiyo katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.

18 Mwezi wa kwanza, siku ya mwezi kumi na nne, wakati wa jioni, mtakula mikate isiyochachwa, hata siku ya mwezi ishirini na moja jioni.

19 Muda wa siku saba isionekane chachu katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula hiyo iliyotiwa chachu, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na mkutano wa Israeli, akiwa mwenye kukaa hali ya ugeni, au akiwa mtu aliyezaliwa katika nchi.

20 Msile kitu chochote kilichochachwa; mtakula mikate isiyochachwa katika makao yenu yote.

21 Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje pasaka.

22 Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha juu, na miimo miwili ya mlango, kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu ye yote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi.

23 Kwa kuwa Bwana atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, Bwana atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.

24 Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.

25 Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi, Bwana atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.

26 Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, N'nini maana yake utumishi huu kwenu?

27 Ndipo mtawaambia, Ni dhabihu ya pasaka ya Bwana, kwa kuwa alipita juu ya nyumba za wana wa Israeli huko Misri, hapo alipowapiga Wamisri, akaziokoa nyumba zetu. Hao watu wakainama vichwa na kusujudia.

28 Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama Bwana alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.

29 Hata ikawa, usiku wa manane Bwana akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa Farao aliyeketi katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa mtu aliyefungwa katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.

30 Farao akaondoka usiku, yeye na watumishi wake wote, na Wamisri wote; pakawa na kilio kikuu katika Misri; maana hapakuwa na nyumba hata moja asimokufa mtu.
Wewe ni Mkristo!? Kama sio Mkristo sio jukumu lako kuwatafsiria nini ni PASAKA. Ni kama kijaribu kumtafsiria MHindu taratibu za ibada yake.
 
Hizi ishu za dini mlimindigi hata Azam tv na Tamthilia zake,haya sahivi TBC kila baada ya mda wanawatakia watu mfungo mwema wa Ramadhan,kuna vitu vingine unaacha tu vipite,huwezi kumind harufu ya pilau kwa jirani kisa wewe unakula ugali
 
Nchi ina vijana wapumbavu na wa hovyo sana hii sijawahi kuona. Eti mleta mada naye ni great thinker. Najionea aibu mimi. Naionea huruma nchi yangu. Ndio maana hatuendelei kwakua tunajali mambo madogo-madogo ambayo hayasaidii kukua kwa uchumi wetu.

Mashindano ya quran yanazuiaje sherehe za pasaka kufanyika? Yaani yatafanyaje mkristo ashindwe kwenda kanisani asubuhi na baadae kuwatoa out watoto wake? Au kwamba wanayafuatilia sana hivyo atakosa kufuatilia mojawapo? Au kuna baraza la pasaka ambalo Mh. Rais atashindwa kwenda sababu kaenda kwenye mashindano ya quran? Au kwamba luninga mbashara zote zitakua taifa hivyo sala ya pasaka haitarushwa mbashara? Nashindwa kabisa kuona uhusiano wenye mvurugano wa haya mambo mawili kufanyika siku moja.
 
Hizi ishu za dini mlimindigi hata Azam tv na Tamthilia zake,haya sahivi TBC kila baada ya mda wanawatakia watu mfungo mwema wa Ramadhan,kuna vitu vingine unaacha tu vipite,huwezi kumind harufu ya pilau kwa jirani kisa wewe unakula ugali
😁😁😁😁😁 Wanasahau kipindi Fulani bongo movie waliiga Nigeria Kila filamu Kuna pastor na kuombeana tu na Hadi Leo zinarushwa na baadhi ya tv stations zetuu
 
In short Kuna wakristo walishajimilikisha hii nchi wanaona Kila kitu ni Chao na ni haki Yao peke Yao Wanasahau nasi tupo tumeskuti tu,
Mtoa mada hayo ni mambo ya kishamba ni Bora uyaache tu Magufuli, Mkapa na Nyerere wote walikua Marais wakristo na hawakuacha ukristo wao tena wakiwa mstari wa mbele katika harakati za kanisa lakini tulienda no fresh tu had mwisho wa tawala zao, Mambo mengne ni ya kungalia tu 🙄🙄
 
zero kabisa ili jamaa ujuaji mwingi na hakuna umuhimu wowote wa hii mada yako, wakristo kama lilivyo jina watu wa kristo tunajua na tunatambua msingi wa dini yetu ni kuheshimu mila na tamaduni za watu wengine waache wafurahi siku yao ya maadhimisho na sisi tukumbuke pasaka yetu kwisha
 
Back
Top Bottom