Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kumuabudu yesu kunafanana na kule ambako malaika waliambiwa wamsujudie Adamu kwa mujibu wa Quran?Kuwa Yesu, Alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu na si Mungu.
Hakuna mahala Yesu amewahi kusema "mimi Mungu" au "niabuduni".
Kumuabudu yesu kunafanana na kule ambako malaika waliambiwa wamsujudie Adamu kwa mujibu wa QuranKuwa Yesu, Alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu na si Mungu.
Hakuna mahala Yesu amewahi kusema "mimi Mungu" au "niabuduni".
Tunamuombea Yesu, alayhi salaam, pia.inategemea hizo longolongo umezichukuliaje kwasababu hata wengine nao wanashangaa unapomuombea Mohammad,wapo wengine nao wanashangaa kipindi kama hiki cha ramadhani unakuta aya za Quran zinasomwa na waumini wanaitikia amina ukiwauliza kama walikuwa wanaelewa wanajibu hapana kikubwa kuitikia tu,unakuta watu wanaenda maka wanaanza kurusha mawe eti wanampiga shetani je huu sio ujuha?
Anaeombewa ni Mohammad tu usipotosheTunamuombea Yesu, alayhi salaam, pia.
Hatuwatofautishi mitume ya Allah (Mwenyezi Mungu) .
Je mwezi wa 9 napo shule zinapofungwa wanasubiri nini?Waislam mbona hawalalamiki shule kufungwa wiki nzma kwa ajili ya pasaka Kila mwaka?
Na mwaka huu wamepunguza ilikua wiki mbili watu wanafunga shule kusubria pasaka,
Mm naona Kuna haja ya kuminya zaid Ili wengne nao tusikie wakilalamika maana wanajifanya hii nchi ni ya Nyerere na katoliki
Hauujuwi Uislam, usijipotoshe.Anaeombewa ni Mohammad tu usipotoshe
kabisa . Yesu alisulubiwa wakati wa pasaka, watu wamelishwa sumu kuwa pasaka ni kufufuka kwa Yesu.Tukiongezea na hili hata yesu alikula pasaka
Hebu tuanze na hapa hakuna nabii au mtume ambae amewahi kuombewa na kuswaliwa na Allah ukimuondoa Muhammad, na hakuna mtume aliewahi kuwataka waumini wake wamuombee ili wapunguziwe dhambi zao zaidi ya MohammadHauujuwi Uislam, usijipotoshe.
Huoni kila tunapomtaja Yesu, alayhi salaam, tunaweka maneno "alahyi salaam"? Hi yi nu dua ya kumuonba salama na amani iwe juu yake.
Umeqahi jumsoma Yesu na mama yake Bi Maryam, alayhum salaam, kwenye Qur'an? Au unajisemea tu?
Nakushauri, ukitakabkuujuwa Uislam tuulize Waislam, usifate uongo wa wajinga.
Hayo unayoyasema sifahamu umeyatowa wapi, soma kipande hiki kidogo ...Hebu tuanze na hapa hakuna nabii au mtume ambae amewahi kuombewa na kuswaliwa na Allah ukimuondoa Muhammad, na hakuna mtume aliewahi kuwataka waumini wake wamuombee ili wapunguziwe dhambi zao zaidi ya Mohammad
Wewe ni Mkristo!? Kama sio Mkristo sio jukumu lako kuwatafsiria nini ni PASAKA. Ni kama kijaribu kumtafsiria MHindu taratibu za ibada yake.pasaka ni kufufuka kwa Yesu?
Mi ninavyojua pasaka ni maadhimisho ya Waisrael kutoka misri utumwani
Kutoka12:12 Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana.
13 Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.
14 Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa Bwana; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.
15 Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba; siku hiyo ya kwanza mtaondoa chachu yote isiwe katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula mkate uliochachwa tangu siku hiyo ya kwanza hata siku ya saba, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na Israeli.
16 Siku ya kwanza kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu, na siku ya saba kutakuwa kusanyiko takatifu; haitafanywa kazi yo yote katika siku hizo, isipokuwa kwa hiyo ambayo kila mtu hana budi kula, hiyo tu ifanyike kwenu.
17 Nanyi mtaitunza ile sikukuu ya mikate isiyochachwa; kwa kuwa katika siku iyo hiyo mimi nimeyatoa majeshi yenu katika nchi ya Misri; kwa hiyo mtaitunza siku hiyo katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.
18 Mwezi wa kwanza, siku ya mwezi kumi na nne, wakati wa jioni, mtakula mikate isiyochachwa, hata siku ya mwezi ishirini na moja jioni.
19 Muda wa siku saba isionekane chachu katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula hiyo iliyotiwa chachu, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na mkutano wa Israeli, akiwa mwenye kukaa hali ya ugeni, au akiwa mtu aliyezaliwa katika nchi.
20 Msile kitu chochote kilichochachwa; mtakula mikate isiyochachwa katika makao yenu yote.
21 Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje pasaka.
22 Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha juu, na miimo miwili ya mlango, kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu ye yote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi.
23 Kwa kuwa Bwana atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, Bwana atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.
24 Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.
25 Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi, Bwana atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.
26 Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, N'nini maana yake utumishi huu kwenu?
27 Ndipo mtawaambia, Ni dhabihu ya pasaka ya Bwana, kwa kuwa alipita juu ya nyumba za wana wa Israeli huko Misri, hapo alipowapiga Wamisri, akaziokoa nyumba zetu. Hao watu wakainama vichwa na kusujudia.
28 Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama Bwana alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
29 Hata ikawa, usiku wa manane Bwana akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa Farao aliyeketi katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa mtu aliyefungwa katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.
30 Farao akaondoka usiku, yeye na watumishi wake wote, na Wamisri wote; pakawa na kilio kikuu katika Misri; maana hapakuwa na nyumba hata moja asimokufa mtu.
mimi ni mkristoWewe ni Mkristo!? Kama sio Mkristo sio jukumu lako kuwatafsiria nini ni PASAKA. Sawa eh!?
MSABATO anaamini kwa Yesu Kristo!?mimi ni mkristo
Kwamba tuna muokozi wetu.Mkuu mambo yote yaliyoandikwa kwenye biblia kuanzia agano la kale hadi jipya tunayaaminiMSABATO anaamini kwa Yesu Kristo!?
πππππ Wanasahau kipindi Fulani bongo movie waliiga Nigeria Kila filamu Kuna pastor na kuombeana tu na Hadi Leo zinarushwa na baadhi ya tv stations zetuuHizi ishu za dini mlimindigi hata Azam tv na Tamthilia zake,haya sahivi TBC kila baada ya mda wanawatakia watu mfungo mwema wa Ramadhan,kuna vitu vingine unaacha tu vipite,huwezi kumind harufu ya pilau kwa jirani kisa wewe unakula ugali
MSABATO anaamini kwa Yesu Kristo!?
Vita yenu na WaKatoliki ( sina uhakika kuhusu KKKT na Anglikana) inaendeleaje!?Kwamba tuna muokozi wetu.Mkuu mambo yote yaliyoandikwa kwenye biblia kuanzia agano la kale hadi jipya tunayaamini
likiwemo suala la Yesu kutufia.