Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Nitajie majina mawili tu ya wanafunzi wa Yesu kwa mujibu wa Quran na hadithi
Hakuna mahala Nimekwambia majina yametajwa na hii ni sababu kua wanafunzi wa yesu wako zaidi ya 12 ukiondoa wale alio anza nao kazi ndio na hilo sio lengo kwamba majina si issue issue ni kazi za hao wanafunzi
Zilizo fanywa na idadi hope umeelewa na ndio maana Quran imetambua uwepo wa wanafunzi kwa kazi zao na sio kuanza kutajana majina.
 
Umeongea mengi sana lakini kitu ambacho hujui ni kuwa maelekezo ya kuadhimisha pasaka waliyopewa wanawaisraeli yalikamilishwa na YESU KRISTU,kama umesoma vizuri umeona namna ushahidi wa damu ulivyowaokoa wanawaisrael.

Yesu amemwaga damu kwa ajili ya ulimwengu mzima,damu yake ni ushahidi wa ukombozi wa dunia nzima,Yeye ni pasaka yetu na dunia nzima tunamwazimisha kwa shangwe. Inabidi ujifunze kuwa yote yliyoelekezwa kwenye agano la kale yalikuwa ni type and shadows of CHRIST. If you still can't see JESUS in old testament texts i suggest you go back to class.
 
Mtumba utavaa mwenyewe na upopoma wako
 
Wako zaidi ya 12 kwa mujibu wa Quran au hisia zako?na ni zipi hizo kazi zilizofanywa na hao wanafunzi kwa mujibu wa Quran?
 
ndio vizuri wakristo na waislam wakitoka kwenye maadhimiso ya Quran wanaenda kula pilau,imekaa pazuri sana iyo siku.ubunifu mzuri huu.
 
Hopeless kungekuwa hakuna tatizo wangebadili tarehe ya hilo Tukio lao kutoka tarehe 9 April ( Pasaka ) na sasa kuwa tarehe 2 April?
Kwani Kusoma Quran Kuna fanya watu tushindwe kusheherekea pasaka?..

Religion tolerance ni muhimu.. Mbona sahivi wote tupo kwenye mfungo?

Je ikitokea wote wote tunasherekea siku moja kutakuwa na tatizo?.. Huoni kwa Namna ambavyo calendar inaenda miaka Michache ijayo Sikukuu ya pasaka itagongana na ya Eid?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujajibu swali
Unalazimisha wakati nimekueleza Allah na malaika zake wanamuombea Mohammad kwa mujibu wa Quran sasa sijui wapi haujaelewa...ndio nataka wewe unieleze hiyo aya inayosema hivyo maana yake ni nini kwasababu tunajua anayeombwa ni Mungu tu sasa iweje huyu Allah nae amuombee mtu?
 
Lazima utokomee tu nimekuuliza luka ipo kwenye Quran? Nataka andiko ndani ya Quran iliyotaja kuwa Yesu alikuwa na wanafunzi 12
mimi Nimekwambia anao zaidi ya hao bado hujaelewa

Quran imetaja kua yesu anao wanafunzi wake je hilo kweli sio kweli?
 
Toa andiko hapa

Alafu uniambie wapi yesu alisema yeye ni mungu kwenye bibilia
 
Wakristo waachwe / tuachwe Kudharauliwa Awamu hii ya Muislamu Mwenzako / Mwenzenu.
Kwani lini Nchi hii haikupita kwa rais ambaye hana Dini? JK Nyerere, mkapa, JPM- wakristo, SSH,mwinyi Sr, JK the second,- Waislamu, what is your call?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…