professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Ona unavyo haha wewe umesema mungu anashindaniwa sasa unazungumza kuhusu kuhusishwa ni kuelewa vip?kwa hiyo hapo ni mipango ya wanadamu tu kujifurahisha kwa hayo mashindano bila mungu kuhusishwa
we jamaa acha kudanadana kama kitenesi, eleza hayo ni mashindano? Mungu ana mashindano, bora mngefanyia hayo mambo misikitini ingeleweka vizuri kuwa mnafundishana kusoma na kukariri quran kisha kupeana zawadi hukoOna unavyo haha wewe umesema mungu anashindaniwa sasa unazungumza kuhusu kuhusishwa ni kuelewa vip?
Hayo ni mashindano na yatafanyika kila mwakawe jamaa acha kudanadana kama kitenesi, eleza hayo ni mashindano? Mungu ana mashindano, bora mngefanyia hayo mambo misikitini ingeleweka vizuri kuwa mnafundishana kusoma na kukariri quran kisha kupeana zawadi huko
sawa kabisa, sasa iweje mpange mashindano yenu katikati ya sikukuu ya wenzenu hao, hamkujua hiyo siku itakuwa ni sikukuu ya taifa kwa mujibu wa kalenda ya matukio katika taifa hili?Uko sahihi pwani na wakristi tunaishi nao vizuri kabisa
Hamna tatizo kabisa na wala Haina atharisawa kabisa, sasa iweje mpange mashindano yenu katikati ya sikukuu ya wenzenu hao, hamkujua hiyo siku itakuwa ni sikukuu ya taifa kwa mujibu wa kalenda ya matukio katika taifa hili?
Yaani huyu mtu ni mpumbavu Sana anataka anacho fikiria yeye iwe kama sheriakwani uliambiwa makanisa yatafungwa kwa vile kutakuwa na mashindano ya kusoma Qurani?
Kila mtu ana dini yake anafanya mambo yake bila bugudha, 'maashey khof' - hakuna hofu.
Au siku ya Eid, wakristo waadhimishe siku ya kusoma biblia pale uwanja wa Taifa.Sasa hi hoja yako in Uhusiano gani na thread ya mleta mada mkuu?
Basi Kama ulishindwa kusoma kilichoandikwa si ungesoma tu tittle ungeelewa anakusudia kusema Nini?
Swali ni kwa Nini kilele Cha siku ya Quran iwe siku ya maadhimisho ya pasaka? Kwa nini wasingevuta ikawa jumapili ile nyingine,ili jumapili hii ya pasaka waheshimu wenzao wakristo washerekee sikukuu yao ambayo waliisubiria kwa siku 40(kwaresma)?
Hivyo ndivyo ilipaswa kuwa. Ni swala la ustaharaabu tu,na si kushindana.
Shida ni uelewa tu yale siyo mashindano ya quran ni mashindano ya kuhifadhi quran . Kama ni swale la kumshindanisha mungu mbona makanisa ya Kirkhope kila siku yanaibuka yale siyo mashindano? Uliahasikia msikiti mpya unaosali togauti tngu uzaliwe?Mungu gani huyo anayefanyiwa mashindano? Tafuteni jina zuri hayo sio mashindano. Wanaposema mashindano wanatumia muafaka gani katika istilahi ya lugha fasaha? Mambo ya dini na imani yanaitwa mashindano ni kituko
Acha ujuha wewe, hayo ya diamond jubilee nimengine na ya taifa tar9 ni mengine, hakuna binadamu wa kubadili ratiba kisa wewempaka Jana Usiku Mabango yote ya Barabarani juu ya hilo Tukio tarehe iliyokuwepo ni 9 April, 2023 na sasa baada ya kuona GENTAMYCINE nimewashikeni pabaya mmeamua kubadili tarehe na Venue. Hovyoooooooo....!!!!!!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Kumbuka mama yupo kwenye mfungo,Kiutaratibu Raisi wa nchi ni cheo chenye dhamana kubwa mno. Kwenye sherehe mbalimbali za kitaifa au matukio makubwa lazima na cheo chenyewe kishiriki hayo maadhimisho. Ndio maana lazima ungemkuta Mzee Magu kwenye sijui shura ya maulid au swala ya iddi. Sio kwamba ni Mwislamu hapana ila cheo kinahitajika. Na kwa mama pia alistahili Misa ya Pasaka na yeye awepo. Ni utamaduni mzuri wa Raisi kula sikukuu na wananchi wake. Sijajua mama anaogopa Nini. Nilikua namuona Kikwete kanisani mara nyingi tu.
Anatumikia kiti. Kiti hakifungi. Wala hakitafungi.Kumbuka mama yupo kwenye mfungo,
Angekua mkristo halafu waziri mkuu mkristo na makamu Labda mgojwa halafu Eid imeangukia siku ya Ijumaa kuu unafikiri asingeenda? Kinaenda kiti sio mwenye kiti.Kumbuka mama yupo kwenye mfungo,
Jibu ni rahisi sana, alisurubiwa siku ya ijumaa kuu, siku ya tatu akafufuka katika watu.
Yesu ameikuta Pasaka ikisherehekewa, Sasa matendo yaliyotokea ni Salama ya Ukristo tangu ijumaa Kuku.
Kuna watu hapa hapa mjini wamezaliwa tarehe 25 December, Kwahiyo siku ya Christmas wao ni birthday yao.
Cha msingi uelewe Yesu ameikuta Pasaka.