Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Hao waislam wa wapi na sikukuu gani ya waislam iliyofungamana na ya kikiristo!?..idd kubwa au ndogo,maulidi,ilikua lini!?..yaani waislam washindane na wakiristo,siyo nyinyi mnaohamasishana kutoa sadaka kubwa na siyo mia mia Kama waislam!?
Nilimsikia mazinge "wapite mashababi kumi watoe laki 2 kila mmoja kwa ajili ya Allah na kweli vidume vikapita kutoa
 
Mtoa mada kachokoza ili wanajopo tuweze kujadili na kimsingi anazungumza jinsi Hizi Dini ambavyo zimeishi siku zote kwa kila mmoja kumheshimu mwenzake..


Swali, Je ni sawa? Kwa maana Inaleta picha nzuri kwa Wakristo?

Nadhan ni swala la Uungwana kusogeza tarehe

Mtoa mada kama huna jicho la Tai unaweza kumwelewa vibaya
 
GENTAMYCINE huwa naeleweka vyema na Werevu ( Intelligent ) kama Wewe hapa JamiiForums ila Wapumbavu tu pekee ndiyo hawajawahi Kunielewa.
 
Acha kuongea kiunafiki. Haina haja ya kupindisha, we nyoosha tu maelezo, kama unamtetea mtoa mada mtetee kisawasawa sio unatengeneza maneno. Na nyinyi subirini siku ya Eid mfanye yale matamasha yenu. Kinachowauma ni kwamba uislam una nguvu ya watu. Hata mkileta matamasha yenu siku ya sherehe ya kiislam bado mtafunikwa. Hiko ndo kinachowakera. Ila poleni hamuwezi ipinga dini ya Allah
 
kutesa kwa zamu
saizi zamu yao kupanga ratiba, hata maulid inaweza kuwa Christmas [emoji23]
 
Nakushauri kasherehekee pasaka kwa kusikiliza Qur'an.
 

Tukiongezea na hili hata yesu alikula pasaka
 
Usijisumbue kishachakachuliwa hiki kitabu. Kwanza Yesu hakukabidhiwa bibilia. Nyinyi bibilia mmeitoa wapi?
Luka 4:17
Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa.......
=======================
Nchi hii ni moja ya Nchi ambayo Waislamu na Wakristo wanaishi kwa upendo mwingi sana.

Kasoro ziko ndogo sana kama zile za Pemba kuzuia ujenzi wa Kanisa na vi njaa vya Ugaidi kwa baadhi ya waumini wachache sana wa dini ya haki.

Tunawakaribisha Waislamu waje Kusoma Qurani Kanisani Pia Siku yoyote. Hata kama ni Chrismass.
 
Kumbe Kuna mamtu majinga humu, kwahiyo huyo mama kuwa rais ndo akufuru na dini yake aikane??? Heshima ipi hasa unayoitaka we bwana maana Kila mtu ana dini yake na anaabudu muda wowote anaojiskia, mfano tu hapa mtaani Kuna kanisa watu wamehamia kanisa wanalala na kuamkia hapo, usiku kucha ni makelele ya mapambio na Hali siye na RAMADHAN hii tuna ibada zetu za usiku majumbani mwetu lakini tumevumiliana tu, vipi wewe kikuwashe watu kufanya mambo Yao???
 
Utamuhubiri kristo kabla ya safar ya mwisho
Kitu usichokielewa kwa ufupi ni kuwa, Mkristo wa kweli ni Muislam.

Uislam ni mwema sana. Hakuna longolongo za kumuabudu binaadam mwenzako.
Utasikilizaje kitu ambacho kati ya watu 200 wanaoelewa ni 10?
Si kweli, Uislam una waumini zaidi billion moja na nusu dyniani na wanauelewa vilivyo.

Uislam hauna longolongo.
 
inategemea hizo longolongo umezichukuliaje kwasababu hata wengine nao wanashangaa unapomuombea Mohammad,wapo wengine nao wanashangaa kipindi kama hiki cha ramadhani unakuta aya za Quran zinasomwa na waumini wanaitikia amina ukiwauliza kama walikuwa wanaelewa wanajibu hapana kikubwa kuitikia tu,unakuta watu wanaenda maka wanaanza kurusha mawe eti wanampiga shetani je huu sio ujuha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…