afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
wabunge wenyewe wanataka tuende huko na Passport.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua kubwa ndio sababu !Wakuu natizama maadhimisho ya muungano,idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe,je ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini? Maoni yenu wakuu.
sasa c wangesema watu wamfuatilie raisi kupitia runinga zao majumbani akihutubia kutoka ikulu kuliko kodi za watanzania zitapanywe tuMleta uzi sometimes punguza kuwa na akili finyu ina maana huoni mvua tena zimenyesha mfululizo siku ya 4 hii?
Sio uwanjani tu hata makanisani sikuhizi watu ni wachache sababu ya mvua.
jiulizeni na tarehe 20 ilikuaje wapenzi tim mja kususaukizingatia kuna mvua na mafuriko njiani,nyumbani huna uhakika wa kuacha chochote,halafu uende kupiga miayo uwanjani kama makatuni mbele ya walioshiba
nadhani kuna sehemu wapambe au washauri wa raisi wanachemka, hakukua na ulazima wa kufanyia maadhimisha jiji hili ambalo lina visa vya mvua yapata wiki ya pili sasa, hivi kilikua na sababu gani ya kutokuyafanyia makao makuu ya nchi ambapo mvua hazipo kwa sasa??
Kama wasanii hawapo wawatumie walimu na wanajeshi.Unadhani Diamond Platinum angekuwepo Uhuru Leo wamachinga wangeogopa mvua kuja uwanjani?
Wasanii ni hamasa tuwatumie inapobidi
Ahsanteni Sana 🐼
Maamuzi yaliyofanyika kuhusu DP WORLD yaliwavunja sana moyo WatanzaniaWakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
hao wanaopiga kwata ni akina nani hapo uwanjaniWakuuu naomba kuuliza hivi wanajeshi mbona siwaoni kwenye gwaride?
ina maana wakazi wa temeke na kurasini sehemu ya karibu nao mvua? Wewe upo wapi mpaka useme temeke mvua sahiv?Mleta uzi sometimes punguza kuwa na akili finyu ina maana huoni mvua tena zimenyesha mfululizo siku ya 4 hii?
Sio uwanjani tu hata makanisani sikuhizi watu ni wachache sababu ya mvua.
nAtafuta unifomu za mabaka mabaka sizioni au mm tu mkuu👴👴hao wanaopiga kwata ni akina nani hapo uwanjani
Wako Gaza & IranWakuuu naomba kuuliza hivi wanajeshi mbona siwaoni kwenye gwaride?