Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Kuna wakati baba wa taifa aliwaita wanamziki kuwa ni wahuni tuu kama wahuni wangine. Leo unawataka wahuni wasaidie kujaza
uwanja🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
uwanja🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukakuta marais waliohudhuria ni wengi kuliko idadi ya Mawaziri waliohudhuriaMbele ya Marais takriban 10+
wabunge wenyewe wanataka tuende huko na Passport.....
Lakini zaidi ni mvua tu ndio iliyosababisha !Nadhani ishu si mvua pekee Kuna kaujumbe kanafikishwa na watanganyika
mawaziri wako nyuma ya keyboards wakimsuta mazaUnaweza ukakuta marais waliohudhuria ni wengi kuliko idadi ya Mawaziri waliohudhuria
Mwamba je angekuwepo angefanyaje ??!! 🙏🙏Nchi kibaaooo Afrika zimeendelea na hazina cha muungano wala Nini!! Tunataka maendeleo sio kung'ang'aniana....
Woga ulilazimisha muungano sasa tuache woga kilamtu ajenge nchi yake kiuchumi!
Kwanza muhindi anatutungiaje jina lanchi yaani TZ??
Tanganyika haipaswi kusahaulika na kupuuzwa uhuru na uwepo wake!
Ukakasi ni mwingi yaani hoja za muungano ni malalamiko ya upande mmoja tuu...
Mbona sisi Tanganyika wizara zisizo za muungano waziri anatokea upande wapili? Mbona wizara zao hatuendi kuziongoza sisi? Hii sihoja??
Nikinunua gari kwao ZNZ kuingia kwetu TN shida lkn wao wananunua hapo wanaenda kwao bila noma kwanini?
Mwisho, Tanganyika sehemu nyingi tuna maafa ya mafuriko kwasasa,najiuliza sherehe zanini huku wananchi wako hawana pa kukaa,chakula wala nguo? Auuu kwavileee...?
Heeh ???!mawaziri wako nyuma ya keyboards wakimsuta maza
Kwanza muhindi anatutungiaje jina lanchi yaani TZ??
Very factKinacho takiwa kufanyika kwenye sherehe hizo,ni kuonesha Taifa limepiga hatua gani kwenye Sayansi na teknolijia sio maonesho ya kupasua matofari kwa kichwa.
Duuh hakika mkuuKuna mambo mawili;
Mvua
Hisia za watu juu ya Muungano
Mvua: Watu hawana uhakika wa kula yao ya leo sababu ya hizo mvua zenu, bado unawataka wahudhurie maadhimisho hayo? Wapite kwenye barabara gani wakati miundombinu imeharibika, mitaa imejaa maji, ajali zimeongezeka, nyumba zinaelea kwenye maji na mvua zinaendelea kunyesha?
Nani aende uwankani kunyeshewa na mvua mwanzo mwisho. Timu za mpira zenyewe pia zina struggle kujaza viwanja sasa hivi.
Lile fungu ambalo CCM hupewa ili kukusanya watu na kuwasafirisha kwenda kwenye matukio kama hayo, safari hii limeliwa
Hisia za watu
Linaweza likawa ni jibu la watu juu ya Muungano. Wameamua kuukataa na kutoutambua kwa vitendo. Muungano hauna tija kwa wananchi zaidi ya kuwasababishia waishi na wenzao kwa kusimangwa kwa kila kitu utadhani labda wao ni wakinbizi au wakoloni tu.
Gwaride mambo ya enzi zile mkuu 😂😂 baada ya Vita ya Kagera 😃Lakini zaidi ni mvua tu ndio iliyosababisha !
Kama hali ya hewa ingekuwa nzuri watu wangeenda hata kwa ajili ya kuangalia gwaride la Jeshi !
Mkuu,Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
😅😂😅Lakini zaidi ni mvua tu ndio iliyosababisha !
Kama hali ya hewa ingekuwa nzuri watu wangeenda hata kwa ajili ya kuangalia gwaride la Jeshi !