Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hotuba ya jaji mkuu
Majaji wanne wanatarajiwa kustaafu mwaka huu, mwaka jana majaji 5 walistaafu.
MAHAKAMA imeweka kipaumbele kwenye mashauri yanayoweza kuchochea uchumi wa viwanda, kama mashauri ya biashara na uhujumu uchumi.
Mahakama kuhakikisha Mashauri ya uhujumu uchumi yanashughulikiwa ndani ya miezi tisa, kama inavyosema katika sheria
Mwaka uliopita kumekuwa na kanuni kurahisishwa kusikiliza kesi mahakamani, utaratibu wa kusajili rufani kwa mahakama ya rufaa kwa njia kielectroinc ili kuharakisha kesi
Mahakama za mwanzo zisikilize rufani ya kesi za watoto,
HOTUBA YA MAGUFULI
2019 mashauri yalishughulikiwa kwa asilimia 100, kwamba mashauri yote yaliyofunguliwa yalimalizika ndani ya mwaka.
Mobile courts, matumizi ya kuendesha kesi kwa kutumia video, zilisaidia kupunguza mlundikano wa mashauri
Matumizi ya TEHAMA katika shughuli za mahakama yamesaidia kupunguza rushwa,
Mahakama ya uhujumu uchumi tangu kuanzishwa mwaka 2016, jumla ya mashauri119 yameandikishwa, kati ya hayo mashauri 89 yamemalizika, na kuipatia serikali Bilion 13.6 na fidia ya bilioni 30.6
Wafungwa waliosamehewa tangu utawala wa magufuli 38801,huku 5533 waliachiwa katika sikukuu ya uhuru.
Nchi inafanya mazungumzo kuwarudisha makwao wafungwa 1415 ambao ni raia wa kigeni waliokamatwa kwa makossa mbali mbali
“Mishahara ya watumishi wote sio wa mahakama haitoshi, hata mimi haunitoshi” Magufuli 2020
Suala la maslahi ni muhimu, serikali inalifanyia kazi, na swala hili liko ndani ya uwezo wetu. Magufuli 2020
Magereza inahudumia jumla ya 32208, huku 17632 wakiwa ni mahabusu ambao kesi zao bado hazijamalizika, hii inaonyesha changamoto ya ucheleweshwaji wa kesi. na wafungwa. Magufuli 2020
Mahauri 20 ya kodi yenye themani ya dola za kimarekani milioni 247 zinashindaniwa.
Magufuli atoa rai kwa mabaraza ykutatua Changamoto ya migogoro ya ardhi na dhulma kwa wajane na mirathi, Ikibidi kuwapa kipaumbele masuala ya ardhi na wakinamama.
Magufuli hana uhakika na mabaraza ya ardhi kama yana fanya kazi vizuri.
Magufuli atoa wito kwa wafadhili kutoa sapoti kwa mahakama
Pia awashukuru DFDI na WB katika kuboresha shughuli za mahakama
Magufuli aahidi kuipa mahakama bilioni kumi, kwa kuanza ujenzi wa makao makuu ya mahakama.
Pia soma: Hotuba ya Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Dr. Rugemeleza A.K. Nshala katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria
Kwa ufupi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amesema katika kipindi cha miaka minne ya serikali yake ya awamu ya tano anajivunia kuona sekta ya sheria na mahakama imepata mafanikio makubwa.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Sheria yaliyofanyika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli amesema Novemba 20, 2015 wakati akizindua Bunge la 11 alieleza kero mbalimbali za wananchi alizokumbana nazo wakati wa kampeni za uchaguzi.
Rais Magufuli amesema katika kipindi hicho cha kampeni vyombo vya utoaji wa haki vililalamikiwa kwa kiasi kikubwa ikiwamo ucheleweshaji wa kesi, ucheleweshaji wa upelelezi, kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati na kubambikiwa kesi.
Rais Magufuli amesema baada ya miaka minne matatizo ya ucheleweshwaji wa kesi na mlundikano wa mashauri mahakamani hivi sasa yamepungua kwa kiasi kikubwa na kueleza kuwa mafanikio hayo yamechangiwa na jitihadaza za serikali katika kuboresha sekta ya sheria nchini.
Rais Magufuli amesema, serikali imetoa kibali cha ajira, ambapo majaji 39 wameajiriwa mahakama kuu, 11 mahakama ya rufani na mahakimu 396.
Rais amesema hatua nyingine zilizochangia kupunguza ucheleweshwaji wa kesi ni uwepo wa mahakama zinazotembea, matumizi ya tehema ambapo kesi nyingi zimesikilizwa kwa mtindo wa Video Conferences.
Awali akizungumza katika maadhimisho hayo, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma, aliomba serikali kuendelea kutoa kibali cha ajira hasa kwa mahakama za chini, kwani asilimi 70 ya mashauri yote nchini yapo katika mahakama za mwanzo, ambako ndiko kwenye kimbilio la wananchi wengi.
Naye Spika wa Bunge,Mhe.Job Ndugai, alisema uwepo wa mh Rais Magufuli katika maadhimisho hayo ni kielelezo tosha kuhusu ushirikiano uliopo wa mihimili mitatu ya dola ambayo ni Bunge, Mahakama na Serikali.
Zaidi soma....
Rais Magufuli: Mishahara kwa watumishi haitoshi, hata wangu hautoshi
RAIS John Magufuli amekiri kuwa mshahara wake na watumishi kutoka sekta zote nchini hautoshi kwa sababu serikali inatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa sasa.
Mkuu huyo wa nchi ameyasema hayo leo, Alhamisi, katika maadhimisho ya Siku ya Sheria yaliyofanyika kitaifa katika ukumbi mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaa leo.
“Kuna changamoto ya uhaba wa rasilimali fedha, sio tu kwa mhimili wa mahakama, lakini pia kwa sekta nyingine, mshahara wa watumishi wa sekta zote nchini hautoshi, hata mimi wa kwangu hautoshi,” ameeleza.
Hata hivyo Rais Magufuli amesema serikali itajitahidi kukabiliana na changamoto hiyo ili kuweka mazingira bora ya kazi kwa watumishi wake. Rais Magufuli pia ameupongeza mhimili wa Mahakama kwa kazi nzuri ambayo imeifanya katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.
Ameeleza kuwa Mahakama imeweza kushughulikia changamoto kama zile za mlundikano wa kesi mahakamani na mahabusu, kesi kuchukua muda mrefu kusikilizwa, vitendo vya rushwa na malalamiko ya watu kubambikiwa kesi.
“Mafanikio yaliyofikiwa yamechangiwa na kuongezeka kwa idadi ya majaji na mahakimu, matumizi ya TEHAMA kwenye usikilizwaji wa kesi pamoja na matumizi ya Mahakama zinazotembea ambazo zimepunguza mlundikano wa kesi na kesi kusikilizwa kwa kipindi kirefu,”ameongeza.
Wakati huohuo, Rais Magufuli ameahidi kumpatia Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma kiasi cha Shilingi bil. 10 ili kuuwezesha mhimili huo kujenga makao makuu ya mahakama jijini Dodoma.

Aliyoyasema Rais Dkt. John Pombe Magufuli
#Naipongeza Sekta ya Sheria na Mahakama nchini kwa kupata mafanikio makubwa ikiwemo kupungua kwa muda wa usikilizwaji wa kesi, kuimarisha matumizi ya TEHAMA pamoja na kuanzisha Mahakama zinazotembea.
#Matumizi ya TEHAMA yamepunguza utoaji na upokeaji wa rushwa pia yameongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli kutoka shilingi Bil.1.6 kwa mwaka 2017 hadi shilingi Bil.2.6 mwaka 2019.
#Mafanikio ya Mahakama pia yamechangiwa na uamuzi wa Serikali wa kuteua Majaji 11 wa Mahakama ya Rufani, Majaji 39 wa Mahakama Kuu pamoja na kuajiri Mahakimu wapya 396.
#Matumizi ya TEHAMA yamepunguza utoaji na upokeaji wa rushwa pia yameongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli kutoka shilingi Bil.1.6 kwa mwaka 2017 hadi shilingi Bil.2.6 mwaka 2019.
#Uanzishwaji wa Mahakama ya Mafisadi umeondoa dhana iliyokuwa imejengeka miongoni mwa wananchi kuwa mapambano ya rushwa nchini yamekuwa yakiwalenga wananchi wa chini na kuwaacha vigogo.
#Tangu Mahakama hii ianzishwe mwaka 2016 jumla ya Mashauri ya uhujumu uchumi 119 yamesajiliwa na mashauri 89 yamemalizika ambapo faini ya sh.Bil 13.6 na fidia ya Bil. 30.6 zimetolewa.
#Nakuhakikishia kuwa tutakupatia fedha za kujenga Mahakama ya Jijini Dodoma pia kati ya watumishi 268 uliowaomba, tutaajiri watumishi 200 ili wakafanye kazi katika Mahakama mpya zinazojengwa.
#Katika magereza yetu kuna jumla ya wafungwa 13,455 na mahabusu 17,632, hii inaonesha kuna ucheleweshwaji wa kesi hivyo wapelelezi hakikisheni mnaharakisha upelelezi kwani mnawanyima watu haki.
#Bado kuna changamoto ya migogoro ya ardhi na dhuluma kwa wanawake hasa wajane, sina uhakika kama Mabaraza ya Ardhi yanafanya kazi vizuri pengine yapo chini ya Wizara ya Ardhi lakini lawama zinapotolewa zinarudi kwa Mahakama hivyo migogoro hiyo ifanyiwe kazi.
#Serikali imepeleka Muswada wa Sheria ya Usuluhishi ili kufuta Sheria hizo za mwaka 1932, tunaamini sheria mpya itaziwezesha Mahakama zetu kufanya usuluhishi na tutaweza kuendana na mikataba mbalimbali ya kimataifa tuliyosaini.
*Aliyoyasema Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma*
#Siku ya Sheria ni muda mzuri kwa wananchi kukumbushana umuhimu wa Katiba na Sheria katika kuwawezesha Watanzania kuendelea kuishi pamoja katika nchi huru na kutafakari namna ambayo Sheria itatumika kuwezesha kufanikisha ukuaji wa uchumi.
#Kauli mbiu ya mwaka huu inawataka watumishi wa umma walio na majukumu ya kutekeleza sheria mbalimbali wajitathimini kama wanatumia sheria na taratibu za mahakama sio kwa lengo la kuweka vikwazo bali kuendeleza biashara na uwekezaji.
#Tumesimika vifaa vya mawasiliano kwa njia ya video katika baadhi ya ofisi zetu ambapo hadi sasa mashauri 60 ya Mahakama ya Rufani yamesikilizwa kwa kutumia mfumo huo pamoja na kusikiliza mashahidi waliopo nje ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app