Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi

Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi

Hata Marekani raia wake wanalalamikia mishara,hatatokea hata siku moja katika dunia hii binadamu akarizika Nakitu cha kupewa,kama mishara haitoshi watumishi watafute njia mbadala za kutunisha mifuko yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,
Mmenikumbusha wale matapeli waliokamatwa wakiwa na mabegi yanayo fanana na yale yanayo bebwa na walinzi wake na kuwagawia watu mihera
 
Mashara haumtoshi kwa maana pesa hazimtoshi yuko sawa hakuna anayetosheka na pesa hata ukipata vip utaona hazitoshi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Marekani raia wake wanalalamikia mishara,hatatokea hata siku moja katika dunia hii binadamu akarizika Nakitu cha kupewa,kama mishara haitoshi watumishi watafute njia mbadala za kutunisha mifuko yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno Njia mbadala na neno kitu cha kupewa ni maneno yaliyokosa busara sababu watumishi wengi hawana njia mbadala labda kama unamaanisha rushwa,

hawana kitu wanachopewa sababu mshahara ni malipo kidogo ya jasho lao. Mwalimu wa msingi umasaini huko ana njia gani mbadala?

Waheshimu wafanyakazi wa uma kama wanavyoheshimu maamuzi ya kutopandishwa mishahara na kuendelea kutulia.
 
Hata mimi nikiwa napata karibia kila kitu bure nitasema nisichopata hakitoshi. I mean matumizi mengi ya rais hayatoki ktk mfuko wake binafsi, yanatoka ktk bajeti ya ikulu/rais .Simu ulipiwe, gari na mafuta ulipiwe, chakula bure, ulinzi bure,mavazi bure bado unasema mshahara hautoshi
 
avogadro,
Hii ya rumanyika imekaa vzr! Nikweli mh amesema, maana cku hizi watu wabaya wameifanya mahakama kuwa kinga ya maovu yao.
 
Back
Top Bottom