Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi

Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi

Yaani nipange mstari masaa kumchagua MTU asiyejali ustawi wangu na familia yangu! Niteseke na madeni, watoto wasome kwa shida, nile kishida, kodi inidhalilishe,matibabu yanishinde gharama kwakuwa umeninyima mshahara stahiki kama ulivyoahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi alafu nikuchague!

Labda niwe taahira, ifike mahali watu wajitambue na wasikubali mambo yakijinga bila kuzitambua na kuzidai haki zao MTU mmoja hawezi kujiamulia watu waishije,watesekaje mradi ajitafutie sofa za kujengajenga mavitu tele kwani hatuna mpango kama taiga? Yeye ndio mpango akiamua kujenga kwao maghorofa taifa linafanya hivyo kwa gharama za maisha yetu kwa duni?

Wake your ass up, stop accepting some shit tutizame Kenya, uingereza ama marekani ukileta ujinga watu wanakuweka kando
 
Mishahara huwa haitoshi ..Hata ronaldo alikomaa real madrid wamuongeze mshahara... management walivyogoma.. ndio akaondoka kwenda juve

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, kama unaingizia kampuni 1000 afu inakupa 1, na haioni umuhimu wako bora kusepa tu,wajipange upya kutafuta mafanikio.

Tuheshimu contr za watu ktk kampuni. Unakuta wakurugezi wanajilipa bonus za kufa mtu,afu wale kajamba nani ambao ndio wanatimua vumbi wanabaki kulia lia.

Mi nimuumini wa mtu kujitambua mchango wako ni nini na unadhan kipi upaye katika return. Lazima uwe na uwezo wa kujadili maslahi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,
Weka payslip zake. Hawezi kulipwa 9m, labda kama ana 10% zake kwenye manunuzi ya ndege, miradi yote mikubwa nk.
 
Anakula bure,anavaa bure,nyumba bure,matibabu bure,usafiri bure halafu anasemaje Mshahara hautoshi?
Anakejeli tu na kuwadhalilisha watumishi kuwa na yeye mshahara haumtoshi...kwahiyo anataka kujilinganisha na karani wa mahakama anayepata mshahara wa laki 2 tu! Baraka wakati mwingine zaweza kugeuka laana.
 
..swali zuri.

..lakini kwa vyovyote vile hawezi kujilinganisha na watumishi wa serikali ambao hawahudumiwi[ makazi, usafiri, matibabu, mavazi, ulinzi] kama anavyohudumiwa yeye na viongozi wengine wakuu.
Anawachora watumishi wa umma tu.

Asichokijua yeye ni kwamba:

”YOU CAN'T HELP THE POOR BY BEING ONE OF THEM''-Abraham Lincoln.



dodge
 
Mwambieni basi aache utoto. Kila akija hadharani yeye ni kutaja madaraja stiglers gorge airtports na bla bla zile zile kila mara hadi masikio yanauma.
Tell him to man up
Hivyo ulivyovitaja hata akiwa kwny mikutano na mabalozi wa nchi mbalimbali hapa bongo hua anayataja kila saa.

Nadhani mabalozi watakua wameshajua na kukariri hivyo vitu anavyovitaja daily.

dodge
 
!
!
Kwani Raisi Anapata Kiasi Gani Kwa Mwezi? Kama Anahudumiwa Kila Kitu Ikiwemo Kulipiwa Kodi Mshahara Haumtoshi Kufanyia Nini
 
USSR,
Kila kitu kwake kinfanyika bure kuanzia familia yake hadi wazazi wake. hivyo 9 milioni inakuwa akiba tu twende sawa 9*12*miaka5=540 hapo bado marupurupu ya kustafu na bado ataendelea hudumiwa na serikali aki stafu. hapo ni miaka mi 5.

Alafu bado akiamua kwenye ile Tirioni 1.51 ye akachukua hiyo ya mwisho 0.01 yaan Bilioni 10 mambo yanazidi kunoga.
Sijui kama umenielewa.?
Ila huezi nielewa ukiwa ndan ya ccm
 
Hivyo ulivyovitaja hata akiwa kwny mikutano na mabalozi wa nchi mbalimbali hapa bongo hua anayataja kila saa.

Nadhani mabalozi watakua wameshajua na kukariri hivyo vitu anavyovitaja daily.

dodge
Inawezekana ikawa ni aina ya ugonjwa
 
Back
Top Bottom