DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
CCM wamezoea kudanganya wajinga wajinga basi wanafikiri kila mtu ni mjinga mjinga36m to 9m uongo mtupu.
dodge
CCM wamezoea kudanganya wajinga wajinga basi wanafikiri kila mtu ni mjinga mjinga36m to 9m uongo mtupu.
dodge
Hivi hiyo pesa aliikwapua kweli ?Aache utoto wa kusema Tanzania ni tajiri na pesa zipo wakati anashindwa kuongeza watummishi mishahara
Mshahara.haumtoshi ndo mana akakunja 1.5 tril mfukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mamtu kila kukicha yupo polisi , mara mahakamani, mara kwa mkuu wa mkoa usiombe upate jirani wa namna hiyo anayetembea na mafailiavogadro,
Hii ya rumanyika imekaa vzr! Nikweli mh amesema, maana cku hizi watu wabaya wameifanya mahakama kuwa kinga ya maovu yao.
Kwani analipwa kiasi gani hasa.
Anajilipa milion6 ndungu bila makoto lakin sijui hakusomesha na bodi nazani
Ktk rais dunia wakwel magu namba moja nasikia ikulu kuna utata wa tiss ndani kwa ndani kuhusu mishahara ila jwtzd sijawai sikia iyo kituuu eti haitoshi kvp haitoshiHivi hiyo pesa aliikwapua kweli ?
SijakusomaKtk rais dunia wakwel magu namba moja nasikia ikulu kuna utata wa tiss ndani kwa ndani kuhusu mishahara ila jwtzd sijawai sikia iyo kituuu eti haitoshi kvp haitoshi
Kuna mwana tiss ila nasikia tiss kuna kama kautata kanaanza ukoSijakusoma
Nimepenyezewa za ikulu leo diwani alikuwa ikulu kikao kizito tiss na jiwe nazani kuna mambo mazito yameshushwa leo
Time healsNimepenyezewa za ikulu leo diwani alikuwa ikulu kikao kizito tiss na jiwe nazani kuna mambo mazito yameshushwa leo
Hata Marekani raia wake wanalalamikia mishara,hatatokea hata siku moja katika dunia hii binadamu akarizika Nakitu cha kupewa,kama mishara haitoshi watumishi watafute njia mbadala za kutunisha mifuko yao
Sent using Jamii Forums mobile app