Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hii nchi kila mtu ni afisa. Kauli za unanijua mi nani zinarudi kwa kasi sana😀😀Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri
View attachment 2538128View attachment 2538129
Chanzo: Ikulu
Chadema watajutia sana hii kauliSi wengine waliita ubodaboda ni kazi ya laana!!--- sasa wenzenu wame take advantage kwa kauli hiyo. CCM are good opportunists 😀😀
Twisted kuua hoja ya LemaMsafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri
View attachment 2538128View attachment 2538129
Chanzo: Ikulu
Chadema watajutia sana hii kauli
Kama ni kazi mtoto wa mbunge yupe anafanya hii kazi?Chadema watajutia sana hii kauli
Umewaona Maafisa Usafirishaji wansindikiza mama!Kama ni kazi mtoto wa mbunge yupe anafanya hii kazi?
Shenzi type, Lema kawanyooshaUmewaona Maafisa Usafirishaji wansindikiza mama!
Si hoja ni dharau, kule kusema ni laana ndio tatizo lilipo angeweza kueleza hoja yake bila kuwadharau.Twisted kuua hoja ya Lema
Nani wanawatumia? Abiria?Kundi hili limekuwa likitumika sana, na hapa wanaendelea kutumika.
Yeye ndiye kanyooka na Deni amelipiwaShenzi type, Lema kawanyoosha