Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri

View attachment 2538128View attachment 2538129

Chanzo: Ikulu
ccm ndivyo wanavyopenda kupumbaza wajinga huku watoto wao wakitaftiwa kaz BOT.
 
Kama ni kazi mtoto wa mbunge yupe anafanya hii kazi?
Kuna madaraj kwenye jamaa,hakuna jamii iliyo sawa,huwezi sema hiyo ni kazi ya laana...na kuuza nyuchi iwe kazi gani!?..muwe mnafikiri kabla ya kufungua vinywa
 
Wanafanya kazi huko kwa sababu wana elimu na mishahara ni minono, sasa unadhani watu wote wana sifa za kufanya kazi huko na kwamba kuna nafasi za kutosha wote kupata nafasi za kazi huko?
Huna akili, kuna bodaboda wana masters, sifa ni kwa watoto wa Mawaziri, RCs, RASs, DCs, DASs, wabunge na vigogo wengine? au nafasi ni special kwao tu?
 
Chadema watajutia sana hii kauli
yani chadema ijutie wakati lema alipomaliza mkutano pamoja na kutoa kauli hio alisindikizwa na bodaboda mpaka nyumban unless uwe huna hii taarifa by the way ccm ni wapuuz sana waulize kama mtoto wa madelu na mkumbo kama walikuwepo hapo.
 
2025 itamuwia Lema vigumu kutoboa hapo mjini maana technolojia itarejea alichosema 2023
 
Kuna madaraj kwenye jamaa,hakuna jamii iliyo sawa,huwezi sema hiyo ni kazi ya laana...na kuuza nyuchi iwe kazi gani!?..muwe mnafikiri kabla ya kufungua vinywa
kwa,hio watoto wa mawazir hilo sio dara lao mtawatumia wajinga kuwaamin wenye akili hamtawapata.
 
Mbona mumeo hajawahi fika Ikulu?
Wewe unafikiri kila mtu ni punga kama wewe kwamba ana mume? Mimi ni mwanaume au wewe ndiyo yule askari wa zanzibar?

Ndio nakwambia kwenda ikulu si kitu kidogo ndio maana Mbowe break ya kwanza tu ikulu baada ya kutoka jela halafu wewe unaona ujinga.
 
2025 itamuwia Lema vigumu kutoboa hapo mjini maana technolojia itarejea alichosema 2023
mnaota na kujifariji tu subirini mje muone kwanza bodaboda wamewashtukia labda wale wajinga wajinga wa ccm ndo mtawanasa.
 
Kama ni kazi mtoto wa mbunge yupe anafanya hii kazi?
Kwani kudai katiba umeona wapi watoto wa wanaohamasisha kudai katiba wakiwa mbele kwenye mapambano ya katiba

Au lini umewahi kuona viongozi wanahamasisha maandamano wakiwa mbele na familia zao

Alikuwa dokta Slaa na mkewe tu ndio nmewahi kuwaona kwenye harakati serious za namna hyo hadi wameumizwa wale.
 
kwa,hio watoto wa mawazir hilo sio dara lao mtawatumia wajinga kuwaamin wenye akili hamtawapata.
Kwa nini unaangalia watoto wa mawaziri tu na huangalii watoto wa matajiri Kama Azam,dewji nk!?..una chuki na wenye mamlaka!?...unataka kila mtu awe Waziri!?..fuvu lako umejaza nini,mavi!?
 
Wewe unafikiri kila mtu ni punga kama wewe kwamba ana mume? Mimi ni mwanaume au wewe ndiyo yule askari wa zanzibar?

Ndio nakwambia kwenda ikulu si kitu kidogo ndio maana Mbowe break ya kwanza tu ikulu baada ya kutoka jela halafu wewe unaona ujinga.
Jibu swali mumeo amewahi kuiwa Ikulu?
 
Kwani kudai katiba umeona wapi watoto wa wanaohamasisha kudai katiba wakiwa mbele kwenye mapambano ya katiba

Au lini umewahi kuona viongozi wanahamasisha maandamano wakiwa mbele na familia zao

Alikuwa dokta Slaa na mkewe tu ndio nmewahi kuwaona kwenye harakati serious za namna hyo hadi wameumizwa wale.
Kwahiyo na mumeo naye ni bodaboda?
 
Wewe unafikiri kila mtu ni punga kama wewe kwamba ana mume? Mimi ni mwanaume au wewe ndiyo yule askari wa zanzibar?

Ndio nakwambia kwenda ikulu si kitu kidogo ndio maana Mbowe break ya kwanza tu ikulu baada ya kutoka jela halafu wewe unaona ujinga.
mbowe alipotoka jera alienda kwake na sio ikulu acha tabia za kishoga wewe wadanganye mabwabwa wenzako huko ccm.
 
Si hoja ni dharau, kule kusema ni laana ndio tatizo lilipo angeweza kueleza hoja yake bila kuwadharau.

Kuna madaraj kwenye jamaa,hakuna jamii iliyo sawa,huwezi sema hiyo ni kazi ya laana...na kuuza nyuchi iwe kazi gani!?..muwe mnafikiri kabla ya kufungua vinywa
Kazi za kilaana hizo ni vile tu.hawana namna
 
yani chadema ijutie wakati lema alipomaliza mkutano pamoja na kutoa kauli hio alisindikizwa na bodaboda mpaka nyumban unless uwe huna hii taarifa by the way ccm ni wapuuz sana waulize kama mtoto wa madelu na mkumbo kama walikuwepo hapo.
Sasa tujibu hao watoto wa viongozi huwa wanajazana hapo kwenye hiyo mikutano au hao wenye kazi za laana ndio hujazana na kusimama juani kwenye hiyo mikutano? Unafikiri hao wote wangekuwa wanafanya kazi huko BOT na TRA hiyo mikutano yenu mngewajaza akina nani?
 
Si hoja ni dharau, kule kusema ni laana ndio tatizo lilipo angeweza kueleza hoja yake bila kuwadharau.
watafanyaje boda wako wangapi nchi hii waendelee kuchagua ccm waone watakavyoendelea kupigika kwa upuuz wa ccm.
 
Back
Top Bottom