Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri

View attachment 2538128View attachment 2538129

Chanzo: Ikulu
Maafisa au uvccm

Maafisa au uvccm?
 
Kama ni kazi mtoto wa mbunge yupe anafanya hii kazi?
Kwani ili iwe kazi lazima afanye mtoto wa mbunge? Mbona hoja ya kijinga sana kwanini mnaing'ang'ania hivi hamuoni kama ni ujinga? Yani leo hii tukajifananishe na watoto wa wabunge?
 
Kwani ili iwe kazi lazima afanye mtoto wa mbunge? Mbona hoja ya kijinga sana kwanini mnaing'ang'ania hivi hamuoni kama ni ujinga? Yani leo hii tukajifananishe na watoto wa wabunge?
Mjinga babako, kwanini wasiache kazi BOT, Ikulu, Bandarini, TANAPA, TCRA, TRA waje kuendesha bodaboda sababu ni kazi nzuri?
 
Vijana na wanawake ni makundi rika mawili Tanzania ambayo ukiweza kuyateka basi umemaliza kazi. Haya makundi yanatekeka kirahisi sana na wajanja kuanzia kwenye dini hadi siasa wanajua jinsi ya kuwatumia ipasavyo. Kuna sababu kadhaa zinazofanya makundi rika haya yatekwe kirahisi na yafugike kisawasawa but sina muda sasa hivi kuingia kwa undani.
 
Acha wapewe jina lenye heshima Kwa kuwa nao wanafanya KAZI KUBWA za heshima kwenye jamiii, unataka tuwafukane kama yule aliwatukana eti wameleenii? Baada ya kuwa wamempokea Kwa furaha KUBWA badala ya kuwa shukuru aliwaalaani
Kuanzia leo nitatumia hiyo title mkuu nitawaita maafisa usafirishaji.
 
Mjinga babako, kwanini wasiache kazi BOT, Ikulu, Bandarini, TANAPA, TCRA, TRA waje kuendesha bodaboda sababu ni kazi nzuri?
Wanafanya kazi huko kwa sababu wana elimu na mishahara ni minono na nafasi huzipata kupitia majina ya wazee wao, sasa unadhani watu wote wana sifa za kufanya kazi huko na kwamba kuna nafasi za kutosha wote kupata nafasi za kazi huko?

Hebu acheni hoja za kipumbavu. Huyu baba ako we alifanya kazi huko BOT?
 
Back
Top Bottom