Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Sio kwamba sijawai kuwaachia ila hii tabia inazidi kukua, kwa mfanyabiashara unaefanya delivery kwa kutumia usafiri huo kwa siku zaidi ya mara 5-10 hiyo ni hasara.Mkuu mda mwingine waachie tu hata ya maji., ni wapambanaji,,,, ! Mm kuliko kumpa lofa hela yangu aliekaa tu kijiweni eti niungie lijero, bora nimpe mpambanaji anaejiongeza !
Hii tabia inazidi kukua na mbaya zaidi wakishakujua n mwepesi kutoa wanaambiana kijiwe kizima.Hasa boda wa huku Dodoma.
Hii tabia ishakuwa ni ratiba yao kwa kila abiria.
Ila tunashukuru Mungu, bodaboda wetu wa Dodoma kwa usafi wa nguo na miili wako vizuri.
Ishakuwa ratiba.Hii tabia inazidi kukua na mbaya zaidi wakishakujua n mwepesi kutoa wanaambiana kijiwe kizima.
Huku na hali ya joto kila mtu analo fukuto lake kuanzia dereva mpaka abiria.
Wanaona hiyo hela n ndogo sana lakini wao wakuachie ni ngumu.Ishakuwa ratiba.
Yaani ni 500 na 1000 tu kama ulivyosema.
Huku kuna baridi hivo kidogo fukuto hakuna.
Ila ukimuotea mmoja, utatamani utapike.
Kabisa.Wanaona hiyo hela n ndogo sana lakini wao wakuachie ni ngumu.
Kwa maeneo ya baridi hadi usikie fukuto huyo ni mchafu mno.
Wanaambiana wana hiyo tabia sana. Sema we nae ununuage kagariMie niliwahi muachia wa bajaji km mara 2, siku hyo nkapanda ingine, asiseme hana chenji, ile kumdai anaropoka "mbna fulani huwa una muachia tu"
Nlistukaa, nkamuachia yeye pia, toka hapo naandaa kiasi kamili cha nauli, sitaki kero.
Nyie wakinga na waha kwenye sekta hiyo mpo vizuri.Kwa sisi wakinga hatuachi hata 200, ndo maana mnatuita wachawi kwa mafanikio. Usiachie mtu hela yoyote labda awe anakaribia kufa unataka umuokoe kwa hiyo hela
Uzuri kipindi cha mvua chai unaweza kunywa muda wowoteMie niliwahi muachia wa bajaji km mara 2, siku hyo nkapanda ingine, asiseme hana chenji, ile kumdai anaropoka "mbna fulani huwa una muachia tu"
Nlistukaa, nkamuachia yeye pia, toka hapo naandaa kiasi kamili cha nauli, sitaki kero.
Usafi ni jambo la muhimu sana ni vile wengi hawajui, baadhi wanajitetea wanakosa muda.Kabisa.
Akikusanya kwa wateja 20...ana pesa ya maana kabisa.
Sikuhizi vijiweni kwa boda huwa wanaambiana na kurekebishana
Hao mimi sinunuagiDuuh vipi kuhusu maafsa uroda?
Chai ipi tena 😂Uzuri kipindi cha mvua chai unaweza kunywa muda wowote
Apo lazima atoe chenchiMm akisema hana chenchi,nampa namba zangu namwambia baadae utanipigia nikupe hela yako
Kabisa.Usafi ni jambo la muhimu sana ni vile wengi hawajui, baadhi wanajitetea wanakosa muda.