Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
kuna huyo nlipanda bajaj yake Mbezi Shekilango tulivofikaa kimara nkampa ten ili aangalie ustaarabu wa chenchi mapema muda wa kushuka akaanza kulalamika chenchi hamna
Kuna tabia nimeiona kwa hawa maafisa usafirishaji hasa bodaboda na bajaji, ndani ya wiki 2 nimetumia sana usafiri wao ukifika mwisho wa safari ukampa hela inayohitaji kurudi chenchi hasa tsh 500 & 1000 wengi wanasema hawana
Alijuaa "mnambatona" na mwenzake.Mie niliwahi muachia wa bajaji km mara 2, siku hyo nkapanda ingine, asiseme hana chenji, ile kumdai anaropoka "mbna fulani huwa una muachia tu"
Nlistukaa, nkamuachia yeye pia, toka hapo naandaa kiasi kamili cha nauli, sitaki kero.
Chai ya maziwaChai ipi tena 😂
Apo lazima atoe chenchi
Aaaah wapiii, afu watongozaji balaa.Alijuaa "mnambatona" na mwenzake.
Ninunue gari, afu heka heka za usafiri zitanikuta wapi?Wanaambiana wana hiyo tabia sana. Sema we nae ununuage kagari
Nimecheka had bas. 😂😂😂😂Uzuri kipindi cha mvua chai unaweza kunywa muda wowote
Mkuu inatakiwa nimpe kwa hiyari yangu sio kwa ujanjaujanjaMkuu mda mwingine waachie tu hata ya maji., ni wapambanaji,,,, ! Mm kuliko kumpa lofa hela yangu aliekaa tu kijiweni eti niungie lijero, bora nimpe mpambanaji anaejiongeza !
Njoo na mkate wa Super LoafNimecheka had bas. 😂😂😂😂
Nikuletee vitumbua au Sambusa.
Tag Locs namtuma dereva akuletee,Njoo na mkate wa Super Loaf