Maafisa usafirishaji hii tabia yenu ya kujifanya hamna chenchi iacheni

Maafisa usafirishaji hii tabia yenu ya kujifanya hamna chenchi iacheni

kuna huyo nlipanda bajaj yake Mbezi Shekilango tulivofikaa kimara nkampa ten ili aangalie ustaarabu wa chenchi mapema muda wa kushuka akaanza kulalamika chenchi hamna
Hao nawaambiaga kama huna chenji nipe hela yangu, na kwa kulalamika ukitoa elfu 10 hawajambo.
 
Hata haw wa maafisa wa udart wanabakiwaga na 50 zetu ila cc tukiw na pungufu hawapokei
 
Hata haw wa maafisa wa udart wanabakiwaga na 50 zetu ila cc tukiw na pungufu hawapokei
Tabia yao ni kero sana na hao chenchi kwao sio changamoto ila wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa.
 
Ebwanaee, hao wahuni waendelee kuitwa jina lao halisi, bodaboda na bajaji, maafisa ni NIT, TRA, LATRA na wengine wenye ofisi za umma. Ni upotoshaji kuwaita maofisa wakati ni wahuni wa kijiweni
 
Ebwanaee, hao wahuni waendelee kuitwa jina lao halisi, bodaboda na bajaji, maafisa ni NIT, TRA, LATRA na wengine wenye ofisi za umma. Ni upotoshaji kuwaita maofisa wakati ni wahuni wa kijiweni
Ndio jina walilopewa na wasomi wetu
 
Mie niliwahi muachia wa bajaji km mara 2, siku hyo nkapanda ingine, asiseme hana chenji, ile kumdai anaropoka "mbna fulani huwa una muachia tu"
Nlistukaa, nkamuachia yeye pia, toka hapo naandaa kiasi kamili cha nauli, sitaki kero.
Boda boda wenu waswahili sana.
 
Back
Top Bottom