Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

Mbona Dangote hafanyi hayo,ushamba ni kitu mtu anazaliwa nacho...
 
Puffy ni moja ya face ya Hip Hop. Tuhuma zikithibitishwa Hip Hop haiwezi kuwa ile ile tena kamwe. Ni zama mpya hizi, subiri uone
Hiphop itabaki hiphop
Puffy hawakilishi pure hiphop
Wanasanii wanaoimba hiphop
Halisi si mmewqbania hjko kwenye masoko

Ova
 
Hiphop itabaki hiphop
Puffy hawakilishi pure hiphop
Wanasanii wanaoimba hiphop
Halisi si mmewqbania hjko kwenye masoko

Ova
Ndiyo maana nakwambia Hip Hop is Dead. Miaka 5 ijayo wasanii watano wakubwa watakuwa kama Lil Nas X kwa hiyo hata hao underground wataenda kufanya shughuli nyingine ili wasihusishwe na aina hiyo ya muziki.

Jay-Z mwenyewe ni suala la muda tu kabla naye hajachafua hali ya hewa.
 

Hao wanamuziki wengi wao wahuni tu, mbona akina Muhammed Alli wamekufa na heshima zao ila wanamuziki wengi wahuni kama nyimbo zao zilivyo
 
Aisee hadi raha wenzetu sheria zao zinakata pote pote ingekuwa Tz tungekuwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…