Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

Pizzagate ni nini, tuanzie hapo.
Pizzagate unaweza kusoma hapa

Issue sio hio conspiracy theory yenyewe, issue ni hizo Email ambazo Asange alizi leak, mpaka Kesho Hilary Clinton hajazikataa. Na kutokana na hizo Emails zimekuja kuprove sasa hizo traficking za Zamani.
 
Umegundua Pizzagate ni uharo mtupu, sasa unahamisha magoli.

Kwani mimi nimekuuliza email au Pizzagate?
 
Sijahamisha Magoli, toka mwanzo comment yangu ipo specific na mpaka event nimezitaja kuanzia Afghanistan mpaka Haiti, tatizo lako unataka Nidiscuss unachotaka wewe. Usiku kwema, Ubishi wako siuwezi.
Pizzagate is a very specific thing, which has been very thoroughly debunked.

Ukikitumia hili neno kama kitu credible unaonekana conspiracy theorist tu.


"Pizzagate" is a conspiracy theory that went viral during the 2016 United States presidential election cycle, falsely claiming that the New York City Police Department (NYPD) had discovered a pedophilia ring linked to members of the Democratic Party while searching through Anthony Weiner's emails.[1][2][3] It has been extensively discredited by a wide range of organizations, including the Washington, D.C. police.[2][3][4]
 
Hivi hawa 'weusi' wa huko wana matatizo gani?

Vyanzo vya mapato vinakuwa vishawanyookea kuweza kupata mwanamke yeyote kwa gharama yoyote, lakini kwao haitoshi, mpaka waende 'next level'(ref to R Kelly and Michael Jackson)!

Sasa hii kuishi kwa kuruka ruka kama popo ili kukwepa mkono wa chuma atayaweza kabla ya kushitukia kajinasa kwenye mtego wa simba?
 
Dah!.....kashakimbia huyo.
 
Nimekusoma ila hapo uliposema Tyson kwa sasa choka mbaya sio kweli. Jamaa ana mawe ya kufa paka kwa sasa. Fuatilia habari utajua
 
Hawa jmaa wakiwa kwenye vilele vya mafaniko yao huwa kuna vtu vngi vya hvyo wanafanya ikiwemo huu udhalilishaji wao wanaona ni sehemu tu ya umaarufu na pesa walizonazo lkn hv vtu kwa wazungu ni silaha baadae huja kuvitumia kuwaangamizia wakizingua tu kuna wakat huyu jamaa alipishna na Kanye kuhusu zile fulana alizozndua kuwapaisha wazungu wakati huohuo bkack wanauliwa kwa wingi ukizingatia jmaa anaushawishi lazima wakutafutie timing tu
 
Nimekusoma ila hapo uliposema Tyson kwa sasa choka mbaya sio kweli. Jamaa ana mawe ya kufa paka kwa sasa. Fuatilia habari
Mkuu ni kweli anazo ila ukifananisha alizokuwa nazo kutoka $300m na kuzichezea mpaka 10m ni ujinga sana

Nilichomekea tu ila kwa leo kama angezitumia kwa akili angekuwa mbali sana
Nilikuwa nawasema Blacks wakizipata wao ni starehe tu nothing else
Anapigana tena kutafuta hela
 
Jay Z naye ana tabia ya kuandaa house party ?
 
Hata wajukuu zao hawawez kukamatwa mkuu yamkute mjukuu wamzee mahita anabangi utampeleka kituo gani awekwe ndani hii nchi cheo zamana labda uwe nabifu namkuu alieshika nchi
Kuna dogo mmoja mtoto wa Mahita alikuwa anafanya fujo sana Segerea, lakini ndiyo kama unavyosema.
 
Huku tunamtaka mpaka ex president Trump.

Kama watu wamemfanya a sitting president Nixon mpaka kajiuzulu, wakikwambia "nobody is above the law" unaweza kuwa entertain kidogo hata kama bado kuna mapungufu mengi.
Si mchezo Jamaa huko wanajitahidi kwa kiasi chake yaani kukomalia matajiri na watu waliowahi kuwa na power kubwa si kitu cha mchezo mchezo.
 
OK nimekusoma Tyson by now ana mkwanja kutokana na biashara halali ya bangi. Ulipomtolea mfano kama mtu aliyepotea ndio hapo tulishangaa kidogo maana amerudi kwenye mstari kama mwanzo
 
OK nimekusoma Tyson by now ana mkwanja kutokana na biashara halali ya bangi. Ulipomtolea mfano kama mtu aliyepotea ndio hapo tulishangaa kidogo maana amerudi kwenye mstari kama mwanzo
Na hapo kapatia haswa kwenye ganja
Daa kweli aliamua ila ni hivi karibuni kaanza yaani mpaka Amsterdam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…