Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwani Samia alisema kuwa ametenda kosa au kaamua kumtoa ili uchunguzi uendelee akiwa nje ya ofisi?Na Rais Samia aliyemtengua kazi naye ni Chadema? Wakati mwingine mjitajidi kuficha ujinga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kina Mbowe , Kina Sabaya mbona walipanda kizimbani na mkaanza hapa FREE MBOWE SIJUI JUSTICE FOR SABAYA.Hii Nchi imeshakuwa na sheria moja kwa Tabaka la Watawala na Mafisadi wenzao na Sheria nyingine ni kwa Tabaka la Watawaliwa na Masikini na Wananchi wa hali ya chini wa kuingiziwa chupa na kuhamishiwa Burundi.
Basi tufanye WandengerekoAcha kuchafua Watu wa Geita kwa upumbafu wa watu wa Chattle
Hizo ndizo kazi za ibilisi na malaika zake kuua kuharibu na kuangamiza.Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Hoja yako ni hafifu sana,ila nitaijibu upande wa Mbowe kwanza.Kina Mbowe , Kina Sabaya mbona walipanda kizimbani na mkaanza hapa FREE MBOWE SIJUI JUSTICE FOR SABAYA.
Mlitaka mbowe aachiwe kwa nini na wakat mahakama ingehukumu kwa haki.?
AmenHizo ndizo kazi za ibilisi na malaika zake kuua kuharibu na kuangamiza.
Ndio maana tunapoikata ccm huwa tuna sababu za msingi.
Hata kama ccm itabakia peke yake hakika kama Mungu aishivyo sitakuwa mwana ccm.
Kivipi mkuu?!Hu9 ugonjwa ulionao unaitwa NEPOTISM .
Huyo hakufungwa kwa kuhubiri injili! Aliwakwaza watawala, alitaka kuwaamusha waliolala wadanganyika, kwa, kuleta"uchochezi"ikabidi nguvu za dola zitumike kumtuliza, na kutisha wengine ambao wanataka kufata mfsno wake! Kama ni, injili tu, mbona Mwamposa, hakamatwi! Ishu sio, injili! Unaweza, ukawa, jambazi, cha msingi kula na, watawala, uwe na mchango kwao! Uta kula, raha tu!Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
We unaiaibisha hiyo CHADOMO yako, kwa akili hizo hamuwezi kuitoa CCM madarakani asilani. Huwezi tuliza tako nyau km wewe kuhangaika na dude kubwa km CCM? Utaishia kupata sonona bwanamdogo.Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Hilo jitu sijui la wapibhalinaUlipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Hilo jamaa halina hata akili ya kuazima.Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Akili ya wa Manyara ni ipiYaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
CCM huikubali wewe ila watanzania zaidi ya 95% wanaikubali. Na haiwezi kutolewa kwa propaganda za kitoto km hizo.Watawala wengi ni waovu hasa ambao wanailazimisha kukubalika na huku hawakubaliki mfano ccm.
Hilo jitu sijui la wapibhalinaUlipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Aliyepost tunamjua mpaka chumbani kwakeHuu ujinga wa kudhani kila mahali duniani muda huo ni usiku sijui utauacha lini?
Pia usidhani kila mwanajf anaishi Tanzania ambako nchi nzima kama ni usiku ni usiku , kama mchana ni mchana.
Wewe sahizi eneo ulipo kama ni asubuhi basi kuna maeneo mengine ya dunia ni mchana, jioni ama usiku.
Hao wahuni watashika dola la wavuta bangi. Hawana agenda wala sera, walidai mikutano ya hadhara wako wapi sahivi?Huu ndio mkakati wa CHADEMA kutwaa Dola? Pathetic
Policcm tissccm rose muhando nibebeCCM huikubali wewe ila watanzania zaidi ya 95% wanaikubali. Na haiwezi kutolewa kwa propaganda za kitoto km hizo.
Siyo WA Geita huyuYaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Mbumbumbu kama wewe unataka tubaki kwenye Hali hii ambapo mahakama na bunge zimewekwa mfukoni, simu zinapigwa tu kwa Jaji "amua hivi", na inakuwa, fikiria mshitakiwa Gekul hakufika mahakamani kwa sababu tayari alishajulishwa hukumu ilivyo kabla, Sasa mbumbumbu kama wewe unataka tubaki hivi miaka yote.Jibu swali mmeona au mmesikia,kama mmeona basi pelekeni ushahidi wenu polisi ili dpp awahfikishe mahakamani.
99% wanasema wamesikia na kuona kupitia mitandao wewe pia umesikia kupitia mtandao halafu unataka mtu afungwe,una akili wewe kweli?
Mshitakiwa Gekul alithibitisha wapi? Mahakamani kwenyewe wakati hukumu inasomwa alikuwa anakula Bata, kadharau mahakama halafu wewe unamsema utawala wa sheria!Huyo aliyekosa kibali imethibitika pasi na shaka.
Na amehukumiwa kwa Mujibu wa sheria siyo kwa mujibu wa hisia zako..(Huu ndo maana halisi ya utawala wa sheria)
Wewe umethibitisha tuhuma za Gekul au umesikia tu?.. Utawala wa sheria unataka ithibitike pasi na kuacha shaka.
Toa UJINGA wako , jibu hoja siyo kuleta mahisia yako hapa
Alimwondoa kupaisha uchunguzi? Hayo ni yako, taarifa iliyopo kafukuzwa kazi.Kwani Samia alisema kuwa ametenda kosa au kaamua kumtoa ili uchunguzi uendelee akiwa nje ya ofisi?