Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Hii Nchi imeshakuwa na sheria moja kwa Tabaka la Watawala na Mafisadi wenzao na Sheria nyingine ni kwa Tabaka la Watawaliwa na Masikini na Wananchi wa hali ya chini wa kuingiziwa chupa na kuhamishiwa Burundi.
Kina Mbowe , Kina Sabaya mbona walipanda kizimbani na mkaanza hapa FREE MBOWE SIJUI JUSTICE FOR SABAYA.

Mlitaka mbowe aachiwe kwa nini na wakat mahakama ingehukumu kwa haki.?
 
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni

View attachment 2857896

Toa maoni yako
Hizo ndizo kazi za ibilisi na malaika zake kuua kuharibu na kuangamiza.
Ndio maana tunapoikata ccm huwa tuna sababu za msingi.
Hata kama ccm itabakia peke yake hakika kama Mungu aishivyo sitakuwa mwana ccm.
 
Kina Mbowe , Kina Sabaya mbona walipanda kizimbani na mkaanza hapa FREE MBOWE SIJUI JUSTICE FOR SABAYA.

Mlitaka mbowe aachiwe kwa nini na wakat mahakama ingehukumu kwa haki.?
Hoja yako ni hafifu sana,ila nitaijibu upande wa Mbowe kwanza.

Mbowe ile kesi ilikuwa ni kubambika na Dunia nzima ilikuwa inajua ndio maana ulisikia vilio ndani na nje ya Nchi na lengo lilikuwa ni kumuonea kwa kumfunga miaka mingi na kumuulia Gerezani.

Upande wa Sabaya uko wazi Sabaya alikuwa ni Jambazi na ameachiwa kwasababu ni Tabaka la CCM( la Watawala)
 
Hizo ndizo kazi za ibilisi na malaika zake kuua kuharibu na kuangamiza.
Ndio maana tunapoikata ccm huwa tuna sababu za msingi.
Hata kama ccm itabakia peke yake hakika kama Mungu aishivyo sitakuwa mwana ccm.
Amen
 
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni

View attachment 2857896

Toa maoni yako
Huyo hakufungwa kwa kuhubiri injili! Aliwakwaza watawala, alitaka kuwaamusha waliolala wadanganyika, kwa, kuleta"uchochezi"ikabidi nguvu za dola zitumike kumtuliza, na kutisha wengine ambao wanataka kufata mfsno wake! Kama ni, injili tu, mbona Mwamposa, hakamatwi! Ishu sio, injili! Unaweza, ukawa, jambazi, cha msingi kula na, watawala, uwe na mchango kwao! Uta kula, raha tu!
Huyo gekul, ni, takataka tu, kesi, yake inatumika kisiasa tu, Hana, tofsuti na ole rengai, makonda, sasa, hv, anatafunwa kama big G, utamu ukiisha, anatupwa
 
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni

View attachment 2857896

Toa maoni yako
We unaiaibisha hiyo CHADOMO yako, kwa akili hizo hamuwezi kuitoa CCM madarakani asilani. Huwezi tuliza tako nyau km wewe kuhangaika na dude kubwa km CCM? Utaishia kupata sonona bwanamdogo.
 
Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.

Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Hilo jitu sijui la wapibhalina
Huu ujinga wa kudhani kila mahali duniani muda huo ni usiku sijui utauacha lini?

Pia usidhani kila mwanajf anaishi Tanzania ambako nchi nzima kama ni usiku ni usiku , kama mchana ni mchana.

Wewe sahizi eneo ulipo kama ni asubuhi basi kuna maeneo mengine ya dunia ni mchana, jioni ama usiku.
Aliyepost tunamjua mpaka chumbani kwake
 
Jibu swali mmeona au mmesikia,kama mmeona basi pelekeni ushahidi wenu polisi ili dpp awahfikishe mahakamani.

99% wanasema wamesikia na kuona kupitia mitandao wewe pia umesikia kupitia mtandao halafu unataka mtu afungwe,una akili wewe kweli?
Mbumbumbu kama wewe unataka tubaki kwenye Hali hii ambapo mahakama na bunge zimewekwa mfukoni, simu zinapigwa tu kwa Jaji "amua hivi", na inakuwa, fikiria mshitakiwa Gekul hakufika mahakamani kwa sababu tayari alishajulishwa hukumu ilivyo kabla, Sasa mbumbumbu kama wewe unataka tubaki hivi miaka yote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo aliyekosa kibali imethibitika pasi na shaka.
Na amehukumiwa kwa Mujibu wa sheria siyo kwa mujibu wa hisia zako..(Huu ndo maana halisi ya utawala wa sheria)

Wewe umethibitisha tuhuma za Gekul au umesikia tu?.. Utawala wa sheria unataka ithibitike pasi na kuacha shaka.

Toa UJINGA wako , jibu hoja siyo kuleta mahisia yako hapa
Mshitakiwa Gekul alithibitisha wapi? Mahakamani kwenyewe wakati hukumu inasomwa alikuwa anakula Bata, kadharau mahakama halafu wewe unamsema utawala wa sheria!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom