Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Sijawahi kulipa Deni la Bodi tangu nimalize Chuo mwaka 2007,ni ujinga kulipa deni hilo wakati ni jukumu lao kutusomesha
Wengi waliojajiriwa serikalini ni database yao ni rahisi kuwapata na kuwalipisha deni, tofauti na waliojariwa private
 
Unafundisha shule gani? Nisije kukosea kumpeleka mwanangu kwenye shule unayofundisha....

Walimu na polisi sijui nani kawaloga wallah...
 
Wewe ndio lile kundi ambalo ukijiroga kufanya naye deal, kila mtu atajua, kwa sababu midomo yenu huwashwawashwa, na hivyo huwezi kujizuia kuongea.
 
Ukionana naye barabarani utamjua kuwa ndiye mwenye mshahara huo? Ama unafikiri wote wana-share ID zao kama wewe?
We jamaa ni juha kabisa. Kwanza umeanika financial status yako yote mtandaoni kila mtu aone pili kupitia misifa yako ushawagutusha HESBL kiasi cha kuponza wenzio ambao walipona kimya kimya.
 
Kwani alizokopa alifanyia nini?
 
We jamaa ni mjinga sana
 
Deni lililoko kwenye salary sleep nitofauti na deni halisi so nivizuri kutembea loan board kupata deni halisi
 

Huyu kenge kweli. Badala ule bati unakuja kujipiga kifua hapa! Ebo!
 
Salary slip yake inakuumizaje? Wapi imeandikwa kuwa hapa ni pa mishahara mikubwa tu. Na sisi walimu wote tunahusikaje hapa sasa?
Kwa hiyo mwalimu unaona fahari kuanika mshahara wako JF, ili uonekane na wewe unalipwa mshahara mkubwa.........aisee nimeelewa kwa nini mnatumika kirahisi hata kwenye chafuzi kuu, 1.2m ni salary ya kuanika JF kweli.........halafu na nyie mnataka nyongeza ya mshahara!​
 
Akili yako mbovu kuliko hata ya mwalimu unayemdharau!! Nani kakwambia mtoa mada kaweka hapa slary slip ili kuonyesha ukubwa wa mshahara wake? Kusoma hauelewi hapa picha pia hauelewi?!! Kwa hiyo wewe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeweka hapa JF ili watu waone mshahara wako ulivyo mkubwa?
 
Yaani unaleta humu daa wewe kweli duu ndiyo furaha ngoja waione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…