Huna akili kama huyo mwalimu mwenzio ndo maana umemshauri aondoe hizo salary slip ambazo alitarajiwa kusifiwa kwa mshahara mkubwa kumbe ni peanuts tu.Akili yako mbovu kuliko hata ya mwalimu unayemdharau!! Nani kakwambia mtoa mada kaweka hapa slary slip ili kuonyesha ukubwa wa mshahara wake? Kusoma hauelewi hapa picha pia hauelewi?!! Kwa hiyo wewe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeweka hapa JF ili watu waone mshahara wako ulivyo mkubwa?
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?
View attachment 2099882
Mkuu ni ulimbukeni, mtu katokea maisha magumu anafikiri kulipwa hiyo salary anakuwa ametusua.......Mijitu mingine mnapenda sifa. Msomi gani wewe unafikiri HESLB hawamo humu?. Au ni kwamba umeshiba sana hela wewe?. Tusio na pesa ndio tunaongoza kwa kujifanya hatuna shida na hela. Akina chenge wana hela lukuki lakini bado wakabeba zingine kwenye magunia na toroli kupeleka usukumani
Huna akili kama huyo mwalimu mwenzio ndo maana umemshauri aondoe hizo salary slip ambazo alitarajiwa kusifiwa kwa mshahara mkubwa kumbe ni peanuts tu.
Mwalimu endelea kufurahia mshahara wa 1.2m, na vile viposho vya kwenye chafuzi kuu....Akili yako umekalia. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi, wewe unaongelea saizi ya mshahara wake. Ukiwa na mshahara mkubwa ndio uulete hapa JF? Mawazo yako yaonyesha zisivyokutosha.
Mwalimu endelea kufurahia mshahara wa 1.2m, na vile viposho vya kwenye chafuzi kuu....
Mwalimu unatambia salary ya 1.2m, deni la bodi linahusianaje na maonyesho ya salary slip.......mbona sizioni tena hizo slips na deni la bodi bado limejieleza, kuna nini kilichobadilika? ndo maana wakubwa hawaleti watoto wao kufundishwa na walimu dizaini yenu.......mwalimu unayetambia salary ya 1.2m sioni cha maana utakacho deliver, maana unakuwa hujitambui kabisa.Kufurahia kunakujaje hapa? Wee kweli hamnazo. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi. Akili yako ilivyo mbovu ikatafsiri eti mwalimu anaonyesha JF mshahara wake ulivyo mkubwa. Yaan wewe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeuleta JF ili watu waone? Hauni akili yako imepinda?
Mwalimu unatambia salary ya 1.2m
Kwa hiyo mwalimu hapo umeona serikali ya ccm imekujali, kukuondolea 1.8m kwenye loni bodi hadi umekuja kuanika salary slip..........mwalimu mfike mahali muanze kujitambua.Usimlishe maneno mtoa mada kwa akili yako mbovu... Kojoa ukalale.
Kwa hiyo mwalimu hapo umeona serikali ya ccm imekujali, kukuondolea 1.8m kwenye loni bodi hadi umekuja kuanika salary slip..........mwalimu mfike mahali muanze kujitambua.
Type za kina afande ulio.Duuh unawaita waje wakurudishie deni??
Hizi akili zingine hizi! Ni ngumu kuzielewa kama zina akili ndani yake
Naona umekuja na ID nyingine mkuuUsimlishe maneno mtoa mada kwa akili yako mbovu... Kojoa ukalale.
Naona umekuja na ID nyingine mkuu
Hongera kwa kumaliza kulipa deni! Wataka nini tena? Print hiyo kurasa ya kupongezwa Kwa ushahidi wako!Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?
View attachment 2099882
Siyo kuzeeka tu.... Atapigwa mnada[emoji3]wewe jisifie tu, subiri wapite humu wakudake
alafu kwanini unakopa hivyo! si utazeeka na mikopo ndugu ?
Atakuwa ana muda mrefu kazini.Mwalimu ana basic 1m+