Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ukiajiriwa utakatwa hadi uone dunia chungu,ndo utajua hujui.Bro wewe na Mimi tuna moyo mmoja Mimi nasema mpk waweke sawa hicho chombo ndio nitajisalimisha kimewaibia maskini Sana..Mara makato yawe juu Mara faini.,,Mara rentetion ,,,
Yaan Mtu anaamka from know where anaingiza makato kihuni..
Kuweka salary slip na kutoa taarifa ya deni kusitishwa kuna uhusiano gani, mwalimu anza kujitambua....Mleta mada: Jamani, nimefutiwa deni. Oneni documents zangu. Deni limefutwa ghafla.
Wewe: Kwa hiyo unaona mil 1.2 ni mshahara mkubwa wa kuonyesha JF?
Unachokisema hakina hata chembe ya uhusiano na anachokisema mleta mada. Kama hauoni hapo kuwa akili zako ziko sehemu ya kukalia kwenye kiti basi tena.
Umeona eeh! ndo atakuwa kaweka salary slips anafanya show off kwa salary ya 1.2m.......Naona umekuja na ID nyingine mkuu
Na wewe utakuwa juha vile vile. Kwa kigezo ulichotumia nahisi hutoona tabu kutembea uchi ugenini kwa vile tu watu hawakujui.Ukionana naye barabarani utamjua kuwa ndiye mwenye mshahara huo? Ama unafikiri wote wana-share ID zao kama wewe?
STATEMENT ZA HELSB NA SALARY SLIP ZINASOMA TOFAUTI MFANO MM SALARY SLIP INASOMA 9,000,000 na Statement yao inasoma 7,000,000Kama hiyo statement uliyoweka ni ya kwako, wewe ndio unatakiwa ukawadai, Deni lilikuwa milioni 7, na wewe umelipa milioni 9, angalia vizuri, nenda kadai chenji
Haukutoshi bwana acha kujifariji, la usingekopa kopa hivyo. Mshahara haujawahi kutosha.Ila ni mshahara halali na unanitosha mkuu wao na mabillion yao hayawatoshi
dah hapo sawa mama kaupiga mwingi waturekebishiee kwa kweliMwezi uliopita kuna mtu alinambia kuwa baada ya Rais samia suluhu kuingia madarakani kuna retaining fees iliondolewa, nilienda kuhakiki deni langu ambalo lilikuwa linasoma mil 4.4, ila statement waliyonipa ilionyesha nadaiwa mil 1.4, nikawauliza mbona kunatofauti wakaniambia kabla ya mwezi wa pili watarekebisha zisome sawa za loarnboard na kwenye slip....
Haya,sawaAise kwa kweli
kabisa deni langu limebaki about two mil mama samia tumpe mitano tenaHilo ndio deni lako halali ulilosomea kulingana na kozi yako. Mshukuru Mungu kumleta Mama Samia. Mie lilikuwa linasoma zaidi ya milioni kumi na ushee. Baada ya agizo la Mama Samia nimerudi kwenye kiasi ninachostahili kulipa.
Bodi ya mikopo hawatoi ruzuku, Ni mikopo ile.Nchi hii ina unyonyaji sana. Yaani mtu analipwa gross ya 1.2 M halafu wanakata mpaka anabaki na laki 5!! Laki 5 hapo sasa ule, watoto waende shule, upate nauli, ulipe kodi ya nyumba huku ukinunua mifuko ya sementi ili uanze kujenga yako, ulipe michango ya harusi na vifo... halafu hautakiwi kula rushwa. Hii mishahara inatakiwa kurekebishwa haraka sana.