MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Eti Hata LeMutuz ana miaka 18 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Sasa wewe na madam wako nani hazimo? Je chura ya madam wako ni ya shanghai au tokyo?[emoji41] [emoji41]
 
Mkuu mtu aliezaliwa 28 Sep 1988 ana miaka 30? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nipo uchina na huku mtoto akizaliwa huwa na mwaka mmoja. Hivyo Wema tarehe 28 Sept 1988 alikuwa na mwaka mmoja na sasa ana miaka 30. Jengine?
 
Wema Sepetu
Irene Uwoya
Aunty ezekiel
Jackyline Wolper

Wote hawa wananishangaza wanavyosema wamezaliwa 1988 sura zao na hiyo miaka tofauti kabisa
Yaani kama Aunty ukimwangalia tu unajua hii ngoma ya 32-33[emoji23][emoji23][emoji23]

Wote hao wameshafika 30 ila wanajirudisha nyuma kwa maslahi mapana ya biasharaz[emoji125][emoji125]
 
Usishangae Watoto wengine wanazaliwa tayali washakuwa na umri wa miaka mitano hivyo kuwapita kimahesabu ni kawaida na hasa hao wadada wanaopenda kuonekana wa kidato cha pili kalenda zao zinaanzia mbele kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…