Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...umegeuka,Upo sahihi kabisa
Embu weka pichaHivi Jockate si ndo yule alikuwa anahost kipindi cha Jackpot bingo miaka ya 2000? Tena alikuwa hivihivi kama alivyo leo?
Ngasa(79) na Kaseja(70's) wala usipate shaka....ni wazeeKuna watu nina mashka na umri wao
Wema
Aly kiba
Jokate
Kaseja
Ngassa
Hawa jamaa nina mashaka nao sana
Ya kihabeshiWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Hivi na kale kadada ka bongomuvi wanakosemaga eti kananuka papuchi sijui kana umri gani vile[emoji12]Wasanii wooooteee wa bongo movie huwa wanasema wana miaka chini ya 30 ika wazee kuliko wenye hio miaka zaidi ya 30
[emoji16][emoji16][emoji16] haya Mkuu.Yaishe nipo UCHINA ila nimeonywa nisiandike ya mtu yeyote ila Jokate tu. Ref MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha
mkuu hiyo ivatar yako naomba uiattach hapaMsifukue makaburi
Aunty kakomaa kabisa yaan mimi nagoma yule kusema wa 88.Yaani kama Aunty ukimwangalia tu unajua hii ngoma ya 32-33[emoji23][emoji23][emoji23]
Wote hao wameshafika 30 ila wanajirudisha nyuma kwa maslahi mapana ya biasharaz[emoji125][emoji125]
Huyo mama mzee kama lemutuzWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Khaa bhas ni bibiJokate alimaliza Form six pale Loyola High school mwaka 2006.
Kimahesabu...
Primary School (Miaka 7)
Pre Form one at Loyola(Mwaka 1)
Ordinary Level(Miaka 4)
Kusubiri kujiunga Form Five(Mwaka 1)
Advance Level (Miaka 2).
Hivyo Miaka ya Shule ni 15, miaka ya kuanza shule 6, JUMLA miaka 21. (Hii ni mwaka 2006 wakati anashiriki mashindano ya Miss Tanzania).
Toka ameshiriki mashindano ya Miss Tanzania 2006 mpaka leo hii 2017 kuna tofauti ya miaka 11.
Hivyo umri halisi wa Joketi wa sasa ni wastani wa Miaka isiyopungua 32.